mkopo wa bei nafuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mkopo wa bei nafuu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mayenga, Nov 14, 2011.

 1. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,749
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Wanajamvi,

  Nina nyumba yangu iko Maji Matitu Mbagara,haina hati wala lseni ya makazi,nahitaji kupata mkopo wa walau 5m,ni taasisi gani au benki,au SACCOS gani yenye masharti nafuu na yenye kukubali dhamana kama ya nyumba yangu.Msaada tafadhali.Ntashukuru nikipata na mwasiliano ya sehemu hizo.
   
 2. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hiyo nyumba haifai kama dhamana, itafutie leseni ya makazi kwanza, pili unataka mkopo kwa ajili ya nini
   
Loading...