Mkopo NMB

rosita

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
483
250
Wadau habari za jioni
Nimeomba mkopo NMB tawi moja la mkoa wa kilimanjaro..nikapewa form na kukamilisha taratibu zote ndani ya siku mbili na kurudisha form tar 15/Nov na yule loan officer aliniambia huwa inachukua siku mbili za kazi mkopo kuingia kwenye account lakini mpk ninavyoongea haujaingia na mshahara nimeanza kukatwa na nilimfuata kuongea nae kama niambia kuna official issues inaendelea so unaweza ingia na mshahara wangu wa december...

I was so disappointed coz lengo la kuapply mkopo ilikuwa ni kununua plot ambayo nilipata kwa bei chee na imeshanunuliwa na kuongea capital ya biashara yangu

Naomba wadau mnishauri najua nmb wengine mpo huku kuwa ni kawaida mkopo kuchukua muda mrefu hivyo au kuna kitu nafichwa ...
 
reg

Senior Member
Apr 7, 2014
176
225
Nenda kwa manager au rud idara ya mikopo hapo NMB.mwsho oabisa omba bank statement toka tareh October hadi December
 
Zanzibar Spices

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
7,401
2,000
wadau habari za jioni
nimeomba mkopo nmb tawi moja la mkoa wa kilimanjaro..nikapewa form na kukamilisha taratibu zote ndani ya siku mbili na kurudisha form tar 15/Nov na yule loan officer aliniambia huwa inachukua siku mbili za kazi mkopo kuingia kwenye account lakini mpk ninavyoongea haujaingia na mshahara nimeanza kukatwa na nilimfuata kuongea nae kama niambia kuna official issues inaendelea so unaweza ingia na mshahara wangu wa december...

I was so disappointed coz lengo la kuapply mkopo ilikuwa ni kununua plot ambayo nilipata kwa bei chee na imeshanunuliwa na kuongea capital ya biashara yangu

naomba wadau mnishauri najua nmb wengine mpo huku kuwa ni kawaida mkopo kuchukua muda mrefu hivyo au kuna kitu nafichwa ...
Sasa kama lengo ilikuwa kununua plot ambayo imeishauzwa.
Basi ni bora uurudishe mkopo,maana lazima utautumia katika matumizi ambayo hukuyatarajia.
Na asikudanganye mtu,sie tuliokopa Bank tunajua balaa lake,utaona pesa nyingi na tamu mwanzo,itakapofikia kipindi cha kati cha marejesho hapo lazima ukapime presha.
Ni bora pale ulipokuwa na malengo yako ya kununua plot,pale ingekuwa poa sana,maana unanunua Collateral ambayo kama ukikwama unaweza kukopa Bank nyingine na kuhamisha deni.
Lakini hii inashangaza sana,yaani mtu unakatwa mshahara bila kupewa mkopo,sasa si kuongezeana umaskini tu huku?
 
duanzi

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
16,446
0

kukopa na kununua plot ni uzuzu . Kopa kwa ajili ya biashara na sio vinginevyo
 
TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Feb 21, 2014
683
1,000
mkuu mkopo unapata baadaya wiki moja, saa na siku za kazi, baada ya kukamilisha kila kitu, huyo aliyekuambia siku mbili , amekupiga siasa tatizo lipo kwenye halmashauri zetu, huwa wale jamaa wa kukusignia wanachelewesha makusudi, mara ukienda utaambiwa network hamna, mara jamaa kaitwa na mkurugenzi, hapo ndipo tatizo, ila nmb ni super brand benk na ipo karibu na wewe. Hakuna tanzania zaidi ya nmb.
 
lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
21,199
2,000
wadau habari za jioni
nimeomba mkopo nmb tawi moja la mkoa wa kilimanjaro..nikapewa form na kukamilisha taratibu zote ndani ya siku mbili na kurudisha form tar 15/Nov na yule loan officer aliniambia huwa inachukua siku mbili za kazi mkopo kuingia kwenye account lakini mpk ninavyoongea haujaingia na mshahara nimeanza kukatwa na nilimfuata kuongea nae kama niambia kuna official issues inaendelea so unaweza ingia na mshahara wangu wa december...

I was so disappointed coz lengo la kuapply mkopo ilikuwa ni kununua plot ambayo nilipata kwa bei chee na imeshanunuliwa na kuongea capital ya biashara yangu

naomba wadau mnishauri najua nmb wengine mpo huku kuwa ni kawaida mkopo kuchukua muda mrefu hivyo au kuna kitu nafichwa ...

Mkuu pole Sana. ukweli ni kwamba NMB wameikopesha serikali mabilioni ya shilingi kulipia mishahara so wao hawana hiyo hela...

Sio huko tu TZ nzima hali ni hiyo hiyo mambo magumu.
 
rosita

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
483
250
Sasa kama lengo ilikuwa kununua plot ambayo imeishauzwa.
Basi ni bora uurudishe mkopo,maana lazima utautumia katika matumizi ambayo hukuyatarajia.
Na asikudanganye mtu,sie tuliokopa Bank tunajua balaa lake,utaona pesa nyingi na tamu mwanzo,itakapofikia kipindi cha kati cha marejesho hapo lazima ukapime presha.
Ni bora pale ulipokuwa na malengo yako ya kununua plot,pale ingekuwa poa sana,maana unanunua Collateral ambayo kama ukikwama unaweza kukopa Bank nyingine na kuhamisha deni.
Lakini hii inashangaza sana,yaani mtu unakatwa mshahara bila kupewa mkopo,sasa si kuongezeana umaskini tu huku?
hata kama nikighairi tayari nakatwa kwenye lowson coz nimeshaingizwa.....na nawepa pata tena kiwanja mkuu but kwa nini wanicheleweshe?
 
WABALLA Inc

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
2,706
2,000
Hapo unaweza kukuta loan officer kabeba fungu halafu anazungusha kwanza kwenye biashara yake baadae anakuingizia!!Tanzania yetu ina makandokando mengi..........NENDA KWA BANK MANAGER UTAPATA MAJIBU MAZURI,BEBA DOCUMENTS ZOTE ZINAZOWEZA KUHITAJIKA
 
MWANANCHI MUSOMMMA

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
328
0
Nmb sio bank inayoweza kuchangamka ba fursa za wafanyabiashara&wajasiriamali hata wafanyakazi pia,nakushauri nenda access,crdb na tib...
 
rosita

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
483
250
Inatakiwa kuheshimu malengo ya mwenzako.....
. Ndo maana kuna mikopo mbalimbali na sio mikopo ya biashara tu.
ahsante kwa kunisaidia....sio rahisi sana kwa mtumishi wa serikali kujenga bila mikopo otherwise awe na source nyingine mbali na mshahara.
 
rosita

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
483
250
Hapo unaweza kukuta loan officer kabeba fungu halafu anazungusha kwanza kwenye biashara yake baadae anakuingizia!!Tanzania yetu ina makandokando mengi..........NENDA KWA BANK MANAGER UTAPATA MAJIBU MAZURI,BEBA DOCUMENTS ZOTE ZINAZOWEZA KUHITAJIKA
ahsante nitafanya hivyo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom