Mkopo mkopo mkopo wa haraka

Mrekebishaji

Senior Member
Mar 19, 2009
168
63
Watanzania wenzangu, ninakuja kwenu nikihitaji mkopo wa milioni tano, nirudishe mwezi january mwishoni. naweza kupaki gari lakini pia nidhaminiwe na mhasibu wa ofisi ikiwezekana. pamoja na spouse wangu. nina hilo gari lenye thamani ya kama mil 4 na nyumba haina hati, ila mimi ni mfanyakazi. Naomba ushirikiano wenu, mshahara wangu ni zaidi ya mil moja.

Tafadhali noamba msaada wenu kama watanzania wenzangu au binadamu wenzangu, nipo wakati mgumu sana lakini ninaweza kulipa kwa muda nilioutaja. tafadhali nitumie ujumbe kwenye 0763 894508 nitapiga. nipo tayari kulipa kwa riba ambayo tutakubaliana.

natanguliza shukrani
 
Mkuu naona uko desperate and in a tight situation, I hpoe utapata mtu wa kukusaidia mkweli, ila angalia matapeli who may take advantange of ur situation ukapoteza gari yako na nyumba.
All the best..
 
Watanzania wenzangu, ninakuja kwenu nikihitaji mkopo wa milioni tano, nirudishe mwezi january mwishoni. naweza kupaki gari lakini pia nidhaminiwe na mhasibu wa ofisi ikiwezekana. pamoja na spouse wangu. nina hilo gari lenye thamani ya kama mil 4 na nyumba haina hati, ila mimi ni mfanyakazi. Naomba ushirikiano wenu, mshahara wangu ni zaidi ya mil moja.

Tafadhali noamba msaada wenu kama watanzania wenzangu au binadamu wenzangu, nipo wakati mgumu sana lakini ninaweza kulipa kwa muda nilioutaja. tafadhali nitumie ujumbe kwenye 0763 894508 nitapiga. nipo tayari kulipa kwa riba ambayo tutakubaliana.

natanguliza shukrani
pole sana kaka,sina namna ya kuweza kusaidia hili ila ushauri wangu ni kwamba wakati wa shida kama uliyonayo unaitaji uvumilivu sana na kumkalibisha mungu ndio awe mtetezi wa shida zako
Epuka mikopo ya riba itakuweka na kukuacha pabaya sana kuliko ulipo sasa.mungu awe nawe katika kipindi hiki
 
Back
Top Bottom