AMAFUMU
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 221
- 114
jamani naombeni ushauri.
nina biashara yangu ya stationery hapa dar es salaam imesajiriwa na lesini ya biashara ninayo.
sasa nataka kuchukua mkopo bank kiasi cha 5-7 million ili ni kuze biashara yangu na sina thamani zaidi ya gari na biashara yenyewe ninavyoweza kuweka kama bond.
lakini pia ni nimfanyakazi serikali sema ni wale wa mikataba ya muda mfupi mfupi....naombeni ushauri kama kwa kutumia biashara ama gari yangu naweza kupata mkopo na kama yes ni benki zipi wanaweza kunisikiliza kirahisi.