Young Kibaka
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 319
- 46
Ngojea na 4th round watu washacheki majina
naona ndo mara zako za mwanzo mwanzo kutumia google
Ngojea na 4th round watu washacheki majina
time napost yalikuwa hayajatoka from time nimepost kuwa bado anything could happen kama yametoka poa shukran kwa taarifa
haya mshaambiwa mchek xaxa mtupunguzie kelele
niingiee wap mbonaa cjaona jina lolote
Acha kuwadaganya madogo majina yametoka
JJamni majina yakitoka yatakuwa wazi hata humu mtawekewa link ss mi sioni haja ya kupandishana stress humuingafu fijo mi ni kilaza nilieelewa
sawa bhna much knower
Duh...yaan hapa mi nmekomaa usiku mzima,kwenye bodi ya mikopo a/c yangu ya bodi na hamna jipya...wale wenye mchongo waseme,