Mkopo kwa first year 2015/2016

Mkopo kwa first year 2015/2016

Ingia http://www.heslb.go.tzfungua sehemu imeandikwa OLAS(ONLINE LOAN APPLICATION SYSTEM)
then nenda sehemu imeandikwa LOG IN ,click then ingiza index number ya O LEVEL na mwaka wa kumaliza(mfano S0656.0009.2011) na password yako..then click log in.

thnx mkuu
 
Sasa wewe mwanachuo mtarajiwa unaweza kuingia Jamii Forum kuulizia tetesi lakini unashindwa kuingia google kuitafuta website ya Loan Board kuhakikisha

Pathetic
add their stupid,foolish
 
msipende kuishi kwa whatsap fuatilia bodi ya mikopo website pale utapata taarifa za kweli
kuhusu mikopo bado haijatoka msihangaishwe na taarifa za uongo za whatsap

Acha kuwadaganya madogo majina yametoka
 
Attachments

  • 1444595144295.jpg
    1444595144295.jpg
    35.1 KB · Views: 346
Mimi bado nazidi kusisitiza kwamba hizi habari si za kweli maana udahili haujaisha mbona? au kutakuwa na 1st,2nd na 3rd round ya majina ya wataopata mkopo? kama ni hvyo huenda ikawa kweli maana sisi ni kama kichwa cha mwendawazimu ,miaka ye2 always inakuwa ya majaribio tena UNIQUE.

Ngojea na 4th round watu washacheki majina
 
Acha kuwadaganya madogo majina yametoka

Bro hicho kinachoonekana kwenye screenshot ni Google results ila within website ya helsb hakuna link ya mtindo huo sababu hata ukishafungua hapo inakuambia results not found,hebu kama kuna mtu ambaye anaweza sema yeye status yake ya mkopo iko vp aseme
 
kama hayo majina yana 1st,2nd na 3rd round sawa ,huenda yatakuwa ya 1st round,maana wadahiliwa ambao wapo confirmed vyuoni mpaka sasa ni wale wa 1st round ,2nd round bdo wana wait for approval na 3rd round ndo hao deadlne yao kesho kutwa,sasa HESLB wanatoa vipi majina wakati wahusika hawajakamilishiwa mambo yao ya vyuo??
 
Duh...yaan hapa mi nmekomaa usiku mzima,kwenye bodi ya mikopo a/c yangu ya bodi na hamna jipya...wale wenye mchongo waseme,
 
Kuna raia wanapenda sana kuchezea akili za watu,,sasa huyu aliyekaa na kuamua kuandika huu uzushi sijui aliwaza nini...
 
Hv hyo mikopo ikitoka taarifa unapewa kweny profile yako au......maana me pasword yangu nishasahau
 
Mimi bado nazidi kusisitiza kwamba hizi habari si za kweli maana udahili haujaisha mbona? au kutakuwa na 1st,2nd na 3rd round ya majina ya wataopata mkopo? kama ni hvyo huenda ikawa kweli maana sisi ni kama kichwa cha mwendawazimu ,miaka ye2 always inakuwa ya majaribio tena UNIQUE.

Haha atari sana, but that seems to be true tho! Mwaka wa majaribio, tena unique 😀
 
je wajua chochote kuhusu mkopo mwaka Huu?

Unaeza sema ni kweli when u jus seen this, ila hakuna kitu apo.. chenga! When u try that "Click here" shit happens, sijui not found, sijui error! Na kama ni kweli yametoa, I wonder why they didn't FIRE their IT guy hadi sasa hivi!
 
Attachments

  • 1444628996887.jpg
    1444628996887.jpg
    29.7 KB · Views: 139
  • 1444629207253.jpg
    1444629207253.jpg
    25.1 KB · Views: 126
Unaeza sema ni kweli when u jus seen this, ila hakuna kitu apo.. chenga! When u try that "Click here" shit happens, sijui not found, sijui error! Na kama ni kweli yametoa, I wonder why they didn't FIRE their IT guy hadi sasa hivi!

umeambiwa majina hayajatoka bado unajipanikisha et IT guys wafukuzwe. na uandae malimao ya kutosha siku ukiambiwa yametoka.
 
Back
Top Bottom