Usilewe sifa ------- kuelimisha inatoshaShukrani mkuu kwakuwatoa ofu watu humu ndani..mi nilianza kuwaileza kwa kiutaalam zaidi kuusu mikopo ila baadae nilitambua kua sio watu wote humu ndani ni Certified Professional Banker (CPB) holders hivyo nilijikuta nikiongea mwenyewe
DHAMANA YA AJIRA: Waziri wa Kazi na Ajira, G. Kabaka kwa kushirikiana na benki ya CRDB, awataka wasomi kuweka vyeti vyao dhamana ili kupata mkopo wa ajira CRDB.Mwenye uelewa na hili atujuze mana siwaelewi ndio wanataka watunyang'anye na vyeti?
Hapo madaktari wachangamkie tenda sasa
Na wewe kutafuta Kazi au kuongeza elimu ndiyo basi tena labda uanze upya kusoma!!!!Mh hii mbna haieleweki, sasa nikishindwa kurudisha mkopo wao watakitumia vip cheti kurudisha pesa yao
Niuliziie vyeti vyanndoa wanapatamkopo mkuu??
Nilisoma mpaka chuo kikuu vyeti viko benki! mpya hiii
Shukrani mkuu kwakuwatoa ofu watu humu ndani..mi nilianza kuwaileza kwa kiutaalam zaidi kuusu mikopo ila baadae nilitambua kua sio watu wote humu ndani ni Certified Professional Banker (CPB) holders hivyo nilijikuta nikiongea mwenyewe
ndugu, mimi binafsi nilishaenda CRDB nikaambiwa mkopo huu unawahusu wahitimu kutoka SUA tu kwakuwa umebase kwenye kilimo kwanza sisi wahitimu wengine hatuhusiki. Tatizo la viongozi wetu hawafafanui mambo ktk uhalisia wake.