Wadau naomba msaada wenu, natafuta campuni inayotoa mikopo kwa riba na masharti nafuu, ili niongeze mtaji wangu kwenye biashara. Ukitaja campuni naomba na Contacts itarahisisha sana.
Asanteni wadau:flame:
EFC pale kijitonyama
Kuna uwezekano wakupata mkopo kupitia hati ya kiwanja kilichopo kibaha bila kuwa na biashara?wasiliana na huyu kama mtumishi 0767589301