gstar
JF-Expert Member
- Jun 19, 2011
- 822
- 1,511
Naomba kwa anayejua utaratibu wa kupata mkopo kupitia kwa mfuko wa maendeleo ya vijana wa wilaya atupe ufafanuzi. Pia kwa wale ambao wako tayari kujiunga kwenye kikundi cha vijana wajasiriamali aweke namba yake hapa nimuunge kwenye group la watsapp.
Tunakaribisha michango na mawazo ya wadau mbali mbali ili tuweze kujikwamua, ahsante.
Tunakaribisha michango na mawazo ya wadau mbali mbali ili tuweze kujikwamua, ahsante.