Mkopo(heslb) kwa form six private candidate

KIRIKIOU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2014
Posts
241
Reaction score
57
HABARI ZA LEO WANDUGU!!!
MATOKEO YANGU NI div.iii (PCB)(SEE)respectively.
NAOMBA MWENYE UELEWA KUHUSU MIKOPO YA BODI..! HIVI NAWEZA KUPATA KAMA NILIFANYA ACSEE 2013 KAMA MTAHINIWA BINAFSI(PC)...NATAKA KUSOMEA UUGUZI.
 
nna jamaa zangu wawili na msichana mmoja walifanya privete candidates(pc),mmoja anasomea ualimu DUCE,Mwingine yupo udsm,mmoja yupo st joseph makambako ,wote walilamba mkopo mwakajana.tena mmoja alikuwa na matokeo commerce s,econ-d,accounts e na kala mkopo wa nguvu,na anawazazi wote pia advance kasoma private ,o level gvt sembuse wewe upo kwenye priority?
 
Dah thanks ndugu...hela imekua ngumu sana!!

Tuombe tu maconditions yasibadilike.
Vp kuhusu kaumri manake kamesogea kidogo!
 
oooh thanks GOD!
Nlikua nawaza pakupata hayo mamilioni.

naomba MUNGU iwe hivyo.
 
nadhani umejibiwa swali lako.shida si umri kabisa.kozi za ukunga na udaktari wanazilamba hadi watu wa miaka 34
 
HABARI ZA LEO WANDUGU!!!
MATOKEO YANGU NI div.iii (PCB)(SEE)respectively.
NAOMBA MWENYE UELEWA KUHUSU MIKOPO YA BODI..! HIVI NAWEZA KUPATA KAMA NILIFANYA ACSEE 2013 KAMA MTAHINIWA BINAFSI(PC)...NATAKA KUSOMEA UUGUZI.

vigezo vya kupata mkopo unavyoo

so jaribu bahati yako
 
Thanks guys!
Nitajaribu bahati.
Mwanzo nlikua najua heslb ni kwa watahiniwa wa shule tu(wanafunzi)....!
Nimefunguka.
 
nna jamaa zangu wawili na msichana mmoja walifanya privete candidates(pc),mmoja anasomea ualimu DUCE,Mwingine yupo udsm,mmoja yupo st joseph makambako ,wote walilamba mkopo mwakajana.tena mmoja alikuwa na matokeo commerce s,econ-d,accounts e na kala mkopo wa nguvu,na anawazazi wote pia advance kasoma private ,o level gvt sembuse wewe upo kwenye priority?
Upo nnje ya mada tajwa
 
Back
Top Bottom