Mkopo hauwi deni hadi unapoiva na kushindwa kulipika. Magufuli hajaacha madeni, ameacha miradi mikubwa. Tukishindwa kulipa ni sisi, si yeye!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,880
Vitu vingine ni rahisi tu, Mkopo hauwi deni hadi pale utakapoiva na labda kushindwa kulipika.

Mikopo ya Magufuli iliitwa fedha za ndani kwa sababu ilikwenda direct kwenye miradi ambayo upembuzi yakinifu uliofanywa na wakopeshaji ulionyesha italipika ndani ya muda wa mkataba.

Kwahiyo tembeeni kifua mbele msiogope.

Hilo linaloitwa deni la taifa liliachwa wakati wa Nyerere na Mwinyi kuanzia muhula wa Mkapa mikopo yote inalipwa kwa wakati.
 
Vitu vingine ni rahisi tu Mkopo hauwi deni hadi pale utakapoiva na labda kushindwa kulipika...
Pamoja na kujifanya mjuvi wa lugha umeona kuwa maana halisi ya mkopo wa ndani ni " fedha kupelekwa kwenye miradi". Duu ama kweli unayo shida mahali. Ok kwa hiyo mikopo ya Kikwete na Mkapa haikwenda kwenye miradi?
 
Vitu vingine ni rahisi tu Mkopo hauwi deni hadi pale utakapoiva na labda kushindwa kulipika.

Mikopo ya Magufuli iliitwa fedha za ndani kwa sababu ilikwenda direct kwenye miradi ambayo upembuzi yakinifu uliofanywa na wakopeshaji ulionyesha italipika ndani ya muda wa mkataba.

Kwahiyo tembeeni kifua mbele msiogope.

Hilo linaloitwa deni la taifa liliachwa wakati wa Nyerere na Mwinyi kuanzia muhula wa Mkapa mikopo yote inalipwa kwa wakati.
Akili ndogo sana hii. Deni ni deni tokea siku unapewa pesa.
 
Vitu vingine ni rahisi tu Mkopo hauwi deni hadi pale utakapoiva na labda kushindwa kulipika.

Mikopo ya Magufuli iliitwa fedha za ndani kwa sababu ilikwenda direct kwenye miradi ambayo upembuzi yakinifu uliofanywa na wakopeshaji ulionyesha italipika ndani ya muda wa mkataba.

Kwahiyo tembeeni kifua mbele msiogope.

Hilo linaloitwa deni la taifa liliachwa wakati wa Nyerere na Mwinyi kuanzia muhula wa Mkapa mikopo yote inalipwa kwa wakati.
Jamaa kumbe ni Mgambi Kunangwa kiasi hiki ??....bure kabisa shetan
 
Kama huna background ya fani za Finance, Banking, Economics au Business Administration huwezi elewa Magufuli aliharibu kiasi gani!!

Ila kwa kuwa wewe johnthebaptist ni mwanasiasa by profession, endelea kupiga siasa
Do not mislead people without explaining what wrong he did. Tell us how he did? How right he was to do in finance or in development economics. Blanket condemnation without pointing out the wrongs is unprofessional.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom