Siyo rahisi kama unavyodhani, kumbuka kuna miradi inaitwa "white elephant".Vitu vingine ni rahisi tu Mkopo hauwi deni hadi pale utakapoiva na labda kushindwa kulipika.
Mikopo ya Magufuli iliitwa fedha za ndani kwa sababu ilikwenda direct kwenye miradi ambayo upembuzi yakinifu uliofanywa na wakopeshaji ulionyesha italipika ndani ya muda wa mkataba.
Kwahiyo tembeeni kifua mbele msiogope.
Hilo linaloitwa deni la taifa liliachwa wakati wa Nyerere na Mwinyi kuanzia muhula wa Mkapa mikopo yote inalipwa kwa wakati.