Mkopo "BOOM" kwa wanafunzi wa vyuo vikuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkopo "BOOM" kwa wanafunzi wa vyuo vikuu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Destroyer, Oct 25, 2011.

 1. D

  Destroyer Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wale wanavyuo vikuu ambao mshapata mkopo wa mwaka huu yaan boom jipya la 7500. Hivi ni tsh ngapi 2napata ktk awamu hii ya 1?
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Tirilion 140 kila mmoja.
   
 3. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  We fanya hesabu hata hizo za kujumlisha zinakushinda mwee!
   
 4. D

  Destroyer Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hesabu nafanyaje cjui lolote. Nisaidie bac
   
 5. d

  deecharity JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 831
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  we acha kuwa kilaza hivyo, inamana waliokuzunguka wote hawajui mnapata sh.ngapi hadi uje huku? We hujui semsta moja inasiku ngapi? Inamana umeshindwa kuzidisha 7500 kwa hizo... Kweli kuna watu wavivu kufikiri.
   
 6. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kama sikosei ktk awamu ya kwanza ya laki 5 itakuwa 650,000/= halafu utapokea tena 465,000/= awamu ya pili.
   
 7. D

  Destroyer Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sabry001 asante sana kwa kuniupdate
   
 8. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Ila muwe mnajifunza kutumia akili wakati mwingine,huyu jamaa unamjibu wala hujui yuko course gani maana kuna course wanapata zaidi ya hicho kiwango alichoandika hapo,sanasana course za engenieering maana kuna special faculty requirements na researches kwa wengine,sasa inabidi huwe unajua hivi vitu ili upewe data za uhakika kijana.
   
 9. kuberwa

  kuberwa JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 568
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  usisahau kukalukuleti na fakati alawansi mkuu! huwa inasaidia sana mida ya majeruhi hasa mifuko ikianza kucharara! nakumbuka enzi zetu ilikuwa hadi tukunji kiduchu kustua la sivyo unaisikia kwenye bomba tu!
   
 10. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,377
  Trophy Points: 280
  sisi tulipewa 663000. Iliongezwa ela ya orientation.
   
 11. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Wanafunzi wa hapa SAUT for the first tym tumepokea 698500/=.
   
Loading...