Mkono wa kushoto umenipa msichana

Mkono wa kushoto umenipa msichana

Huyo alikua na genye zake tu!

Jamaa alifariki kwa ngoma,na wew unafatia sasa
Zembe sana wewe !we huoni kuwa huyo malaya mstaarab keshakutega ?uralipia chumba,utasaini hela ya mboga yaani we mtu utachokaje na hucho kichangu!
 
Una maanisha demu kakimbia mtaa wanakomfahamu kaenda kuua mtaa mwingine kabisa, dah! Noma sana.
habari ndio hiyooo

sisi huku mtaani kwetu kulikuwa na mademu wanajulikana hali zao ila saivi wamehama huku na huko waliko tunaskia wanagawa papuchi kama hawana akili timamu
 
ha ha ha ha mi wa kwangu aliona nna matege bas akasema wa kwake nae alikua hvo hvo mkuu.....
 
Hongera sana, endelea kujilia kwa machale.
 
Mi demu aliniona nina ndevu basi akasaini.....nyambaf!
 
Wanakuonea wivu tu duh achenu majungu A mewaambia amelukuka kavu
 
Ulikumbuka condom?
Unaweza kujisifu kumbe mwanamke ana UKIMWI
 
Aiseee,, basi na wewe unafuatia kufa... tena kesho mchana
 
...mpenzi wake alikuwa anatumia mkono wa kushoto,kwa sasa ni marehemu....
...kwa sasa wewe ni mpenzi wake na unatumia mkono wa kushoto....
...hebu tumia 'logic ' apo afu uone hatima yako.


Natania tu mkuu!


Kwa hesabu hizo za logic tena za kidato cha tatu,naye ni marehemu mtarajiwa,hahaaaaaaaa,hii inanikumbusha mwimbo huu hapa,"hesabuuuuu ni nzuri sana weeeeeeee,mwalimu nifundishe siwezi kusahau,eeeh mwaaalim,eeeh mwalimu nifundisheeeeeeee"

Kwa wimbo huo,angezingatia hesabu asingeingia mkenge
 
Huyo alikua na genye zake tu!

Jamaa alifariki kwa ngoma,na wew unafatia sasa
Uenda ni nyege kweli nakubaliana nawe. Ila la pili jamaa alifariki kwa ngoma sidhani. Tuliache kama lilivyo kwa sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom