kwa kuwa hizi tuhuma za kifo cha MWALIMU zinaendelea kushika kasi basi 2015 wakati CDM ipo ikulu basi iundwe tume huru kuchunguza kifo cha mwalimu na wahusika wote wafikishwe kwa pilato! hawa wabunge Filikunjombe na mkono hakuna haja ya kuendelea kulalama kuna vyama vingi ukiona chama ulichopo hakikufai au hakitekelezi ilani na mambo mliyokubaliana na hakikubali kukosolewa unajiuzulu unajiunga chama kingine, kuna haja gani ya kuendelea kubweka wakati upo kwenye chama hichohicho kilichojaa rushwa,ufisadi wizi na mambo ya ajabu yasiyomsaidia mwananchi?? wabunge wote safi wakijitenga na CCM itaanguka kabla ya 2015! hakuna haja ya kuimba wimbo uleule kila siku wakati huchukui hatua!!