Mkono aja juu kuhusu Meremeta

Mkono aja juu kuhusu Meremeta

Nadhani hajawahi simamia case za hao jamaa. Siamini kama kuna jipya...
 
Mikataba mikubwa ya kifisadi karibia yote amehusika kwa namna moja au nyingine, yeye binafsi au kampuni yake na marafiki zake akina Mama Maajar, lakini leo hii anajifanya anauchungu... dharau na unafiki tupu!!
 
Huyu mzee anaonyesha huko magamba yuko kwa bahati mbaya maana ameongea kwa uchungu sana juu ya Meremereta na amesema hataunga mkono hata kidogo hoja ya Ngereja. Eti jeshi wameona wamemaliza madini pale Buhare ndio wana wakabidhi kwa serikali na wamechakachua kila kitu hakuna hat meza na viti!! Hii serikali ni ya nani jamani? Sisi hatufanani na wale mababu ( machifu) waliokuwa wana pewa shanga na mashuka kisha wanawauza watu wao kwa wazungu? Hivi vizazi vijavyo watajivunia uwepo wetu kweli? HAWATAAMINI historia ama itakuwa Historia ya vichekesho kwao? INAUMA SANA.
Magamba bwana kaaazi kweli kweli! Yaani baada ya kutafuna mgodi wote ndio wanajitokeza wakionesha eti wana uchungu wakati muda wote walikuwa kimya! Yaani wanasubiri nyoka keshaingia shimoni ndio wanakurupuka na kuanza kuponda mkia?
 
hapa kuna jambo jipya! hapa ipo habari imejificha. Hakuna shaka baadhi ya waccm wanaanza kusoma ishara vizuri. Lakini kitanzini hawajinasui ng'o. Hii inaonyesha wazi kwamba walijisahau. Walidhani nchi ni mali yao na hakuna anayeweza kuitawala isipokuwa wao tu! Bado mengi yaja basi. tuvute subira.
 
sasa nimeamini ni rahisi sana kucheza na akili za watz..........hivi mnajua mkono au mnamsikia??


wabunge wa ccm wanakomaa na umeme maana ukikatika na wao wanaona giza...ila mambo mengine hawaoni......unafiki tu
 
Amefaidi pia kuitetea BOT katika kesi zake kwa gharama za kutisha: Mtu anakudai sh.1000 anajenga hoja ya kifisadi na mafisadi awatetetee kwa sh. 1,000,000/= kama ilivyokuwa kwenye kesi ya DP Valambhia na BOT. Prof. Ndulu alipoingia BOT akaona hii akafuta mikataba ya kutetewa na Mkono Advocates!!
 
mnafiki mkubwa mekula pesa zetu nyingi bank kuu eti wakili ....aibu janja yao tunaijua kelele tu hawana lolote bungeni ndio wametufikisha hapa

Hadithi hii ya Mkono mie nachoka kabisa, yaani ni sawa na mkeo anakwambia..... "mie rafiki yako simpendi kabisa na asije hapa nyumbani", kumbe hiyo ni coumaflage tu wewe ukisafiri rafikio anamumegea mkeo kwenye kitanda chako kama kwake vile
 
Huyu mzee anaonyesha huko magamba yuko kwa bahati mbaya maana ameongea kwa uchungu sana juu ya Meremereta na amesema hataunga mkono hata kidogo hoja ya Ngereja. Eti jeshi wameona wamemaliza madini pale Buhare ndio wana wakabidhi kwa serikali na wamechakachua kila kitu hakuna hat meza na viti!! Hii serikali ni ya nani jamani? Sisi hatufanani na wale mababu ( machifu) waliokuwa wana pewa shanga na mashuka kisha wanawauza watu wao kwa wazungu? Hivi vizazi vijavyo watajivunia uwepo wetu kweli? HAWATAAMINI historia ama itakuwa Historia ya vichekesho kwao? INAUMA SANA.

yeye msafi??
 
Amefaidi pia kuitetea BOT katika kesi zake kwa gharama za kutisha: Mtu anakudai sh.1000 anajenga hoja ya kifisadi na mafisadi awatetetee kwa sh. 1,000,000/= kama ilivyokuwa kwenye kesi ya DP Valambhia na BOT. Prof. Ndulu alipoingia BOT akaona hii akafuta mikataba ya kutetewa na Mkono Advocates!!

Actually, Mkono remains on retainer at the BoT, atleast thats what the gossip is & in the Valambhia case, there was an excellent investigative article written by Richard Mgamba in June 2009, the title of the article is "Revealed: the most expensive legal suit in Dar's history"on the money that has already cost and is costing the country to still have this case languishing in the HC today even after the highest court of the land had delivered a final and conclusive Judgement on it in 2003. The article states that this Valambhia case which is still in the courts is a "special project" of a few people, like a personal project and there is no case, basically its all "fiction" & yet this "fiction" is being played out at the HC.
The article is suppressed & is not available online, the link to it does not open. But it should be in the archives of the Guardian newspaper. If I am able to I will post it here at JF. The people of Tanzania have a right to know the truth about the "special" project of the few because the money is coming out of the BoT for this "special" project of the mighty few!
In March 2003, after the final& conclusive Judgement of the COA, on September 2003 the same year, the former AG, Chenge, through Mr. Salula, threw Mr. Valambhia back into the courts on an issue that was res judicata. What he did is similar to taking a mummy out of a coffin and inserting UV inside the dead dried, cracked veins to give the impression of reviving it. (Another excellent article on this issue was written by a reporter named Mr. Timothy Kahoho, his article on the "illegal" action of the AG during 2003 appeared in the Mirror).
By the way the questions to ask in the Valambhia matter are who benefitted in this war of attrition on one man who had won a decree from the HC? Why were so many cases manufactured against him to deny him Justice? and why did the AG allow a case to continue when it was already decided 14 times by not only the High Court, but also by the highest court of the land, the COA. Is it not abuse of the law, is it not abuse of the courts, is it not "wasting" the TZ ppl's money? Is it not a daylite robberry when the case was repeatedly decided but to keep MR. Valambhia in courts & to have billing & invoicing continue to take place at the Bot? Its a true fact that Mr. Valambhia died in complete financial destitution.
When he was alive he was in the courts for almost every day of his life, & during those days when he cried out in the papers that a "daylite robbery" was occurring at the BoT, he was correct. That was the truth and is the truth today! The "daylite robbery" continues to take place not only against the now deceased Mr. Valambhia, but also against the ppl of the country.
In conclusion, the role played by the former AG in denying Mr. Valambhia Justice should be throughly investigated and also the role of Mkono as BoT attorney who instead of advising his client, the BoT to settle the matter, he continued with the case. Ultimately, who benefitted in this war of attrition against Mr. Valambhia, in this "continuation" of cases against him,in this denial of Justice, certainly not Mr. Valambhia for he lost everything, even his life in the end!
Therefore, the money that Mkono seems to throw around is not only from his IPTL/RICHMOND/Dowans cases, but also from THE VALAMBHIA CASE. Denying Mr. Valambhia Justice kept the billing/invoicing going at the BoT. In fact, the rumored amount he has gotten paid is almost the whole decretal amount. The method they use to calculate for their fees in the Valambhia case is in itself another interesting calculating scenario.
A few facts:
1)Mr. Valambhia had won a decree from the high court on Feb. 12, 1991. Even after the decree was sitting on the desk of every single gvt. official in TZ, through the back door the entitlement amount in the company which belonged to him was released to his business partner. This act of "thievery" was done by the drafting of what is called an "instrument" and given to the MoF. This act was also done when the case was subjudiced. (Who is responsible for drafting legal paperwork for the gvt?).
2)The original case was between two business partners, but when the gvt. intervened (acting as a lawyer for his business partner) one case gave birth to 13 other cases and MR. Valambhia &his lawyer, Mr. Maira won all of them-yet no money was released to Mr. Valambhia, but Mkono got paid! & Money continued to flow out of the BoT.
3) This Valambhia matter began during Myinwi' s regime but during Mkapa's regime, the cases continued in the courts like an addiction. In all the courts-the kisutu court, the HC, and the COA-there were cases against him.
4)its also a fact that Mr. Valambhia was illegally kidnapped & imprisoned by some police officers on certain ppl's payroll, for only one reason, that he sign over his decree to them.
5) For most of his life in TZ, Mr. Valambhia was not a free man, he was always in the courts, and his life was under constant threat.
6)Rule of law is only as effective as good governance.
7)Mr. Valambhia used to say that Tanzania is a sovereign country committed to the Rule of Law, & no one is above the law, not even the President. The Law has to be first.
8)What the former harvard educated AG did in this matter is wrong, instead of obeying the rule of law, it is suffice to conclude from his obsession in "continuing" the Valambhia case, that he did not have the best interest of the ppl/or the sovereign country of Tanzania.
From where did he get all his millions from? If he is able to dismiss a million dollars as cents, imagine how much money this man has in his possession?
9) There is a report that is floating around but somehow never manages to reach the table of the current AG & the President, that report compiled by an independent lawyer, by the last name of Maregesi, reveals everything about this matter. The BoT paid almost a million dollars for that report but the report seems to be in the air somewhere.
10)Why is the current regime allowing this matter to continue in the HC when they are fully aware of the fact that this matter in the courts today is a "special" project of the few? The Tanzanian ppl have the right to know the truth and the right to know the "wrongs' being committed by certain officials in the gvt. who are supposed to be looking after the best interest of the public.
 
Mkono si mmoja kati ya wale walio iba Bank kuu halafu wakaichoma.Sipendi hata kumsikia.Kwanza angekuwa China angekuwa ameshapigwa risasi.
Huyu mzee anaonyesha huko magamba yuko kwa bahati mbaya maana ameongea kwa uchungu sana juu ya Meremereta na amesema hataunga mkono hata kidogo hoja ya Ngereja. Eti jeshi wameona wamemaliza madini pale Buhare ndio wana wakabidhi kwa serikali na wamechakachua kila kitu hakuna hat meza na viti!! Hii serikali ni ya nani jamani? Sisi hatufanani na wale mababu ( machifu) waliokuwa wana pewa shanga na mashuka kisha wanawauza watu wao kwa wazungu? Hivi vizazi vijavyo watajivunia uwepo wetu kweli? HAWATAAMINI historia ama itakuwa Historia ya vichekesho kwao? INAUMA SANA.
 
Watanzania kazi kweli kweli, wanamlilia hata Rostam mfilisi wao.Hakuna kazi.
Ujinga wetu ndio huu, hata Lowasa kesho alituhadaa kwa kuongea kwa machungu tutampigia makofi na kumshangilia kuwa ni kichwa!
 
Back
Top Bottom