Mkongo na Kinyozi wa Kibongo.

ruaaika

Member
Nov 4, 2010
52
9
Katika saloon moja katikati ya mji, kinyozi wa ki Tz akiwa na mteja wake toka DRC alichafukwa na tumbo ghafla, si ndo ushuzi ukamponyoka sasa kuzuga yule kinyozi akamhoji mteja wake: Waonaje hali ya hewa ya Tz?
Mteja wa kikongo; toka nakuya ilikua bye, ila ilivobalika sasa ikiendelela kwa dakika tano naapa itanyesha mvua ya mavi!
 
hahahahahahahahaha.....lol..inaelekea kijambo alichokitoa kilikua kile cha yusufuuuuuuu kinatokaga kimyakimmya lakini harufu yake unaweza ukatapika
 
dah?
Papaa ametishaye? Mvua ya mavi...
 
hahahahahahahahaha.....lol..inaelekea kijambo alichokitoa kilikua kile cha yusufuuuuuuu kinatokaga kimyakimmya lakini harufu yake unaweza ukatapika

Alafu ndo mpo zaidi ya watatu mnaanza hisiana kwa maumbo na ukavu wa sura!
 
Katika saloon moja katikati ya mji, kinyozi wa ki Tz akiwa na mteja wake toka DRC alichafukwa na tumbo ghafla, si ndo ushuzi ukamponyoka sasa kuzuga yule kinyozi akamhoji mteja wake: Waonaje hali ya hewa ya Tz?
Mteja wa kikongo; toka nakuya ilikua bye, ila ilivobalika sasa ikiendelela kwa dakika tano naapa itanyesha mvua ya mavi!
Toka nakuya ilikuwa bien, ila na sasa bamebadilika na bakiendelea hivi badakika batano batanyesha bavua bamavi!
 
Back
Top Bottom