Mkomoe mwanga

Pole sana usidhani wote tunauelewa mdogo kama wako juu ya ulimwengu wa roho na ulimwengu wa mwili hako unakokafahamu wewe ni 0.01% lakini kuna makubwa kuliko unayoyafahamu kuhusu ukristo.

Kwenye dini zote kuna makubwa kuliko tunayoyafahamu.
 

Katika ubora wako mshana junior, lakini nazidi kutishika kila nikisoma post zako na mwisho kabisa naangalia avatar yako.
 

Process Zako Zote Hizi Zinarahisishwa Kwa KUMTUMAINIA Tu Mwenyezi Mungu au ALLAH Period. Hata Hivyo Naheshimu Juhudi Zako Za Uganga.
 

Khaa!! Profesa hii mbona hela tayari!. Ngoja nijisogeze beach nikakusanye mchanga watakaokanyaga wazungu
 

Ha ha haa duh! Kuna mtu itabidi nimchome macho na moto
 
Mkuu unasema "huusiki na matokeo ya matendo" wakati wewe ndo uliefundsha
 
Chukua vitunguu saumu twanga weka kwenye maji ya vuguvugu changanya na asali kidogo kisha loweka miguu humo kwa dk kumi daily kwa wiki moja....kila unapotoa miguu majini paka mafuta ya nazi lala
Fanya hivyo ukishaoga
Dah Mkuu!by instinct huwa naiweka miguu yangu kweye beseni la maji na kweli hujihisi afadhali ,nitafuata ushauri wako na MASTER PLAN ni kweli niliuwa natibiwa ulcer kama miaka minne nyuma na waliniambia ni michubuko tukwenye utumbo yaani si ulcer kamili. itabidi nirudi hospitali!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…