Unavyomaliziaga tu me hoiLeo nafundisha live...!!! Kwa wale wasiopenda natanguliza kuomba radhi TUVUMILIANE kuna baadhi wanaohangaishwa yatawafaa
Wanga ni watu hovyo sana hukufanyia mambo ya kukuchosha mwili na vitu vya ajabu ajabu bila faida yoyote
Hivyo basi mtu wa kaliba naye hana budi kupata shida kidogo pale inapobidi
Tafuta ufanikiwe kupata mchanga wa nyayo zake akiwa peku,tafuta ndulele tatu jivu pilipili kichaa au ----- na kipande kidogo cha kaniki....changanya vyote ikibidi twanga ongeza na matone kadhaa ya damu yako kisha funga kaza sana kwenye kipande cha kaniki
1. Sigina na kisigino huku ukinuizia kama unataka miguu imuume
2. Choma na sindano ukitaka miguu ichome chome
3. Banika motoni ukitaka miguu yake iwake moto
4. Kaanga kwenye kikaango kikavu ukitaka miguu imuwashe
Fanya hivi kama unaamini hizi mambo na una roho mbaya ya visasi...kumbuka kuna hukumu siku ya kiama
Sihusiki na matokeo ya matendo yako
Vitunguu kiasi ganiChukua vitunguu saumu twanga weka kwenye maji ya vuguvugu changanya na asali kidogo kisha loweka miguu humo kwa dk kumi daily kwa wiki moja....kila unapotoa miguu majini paka mafuta ya nazi lala
Fanya hivyo ukishaoga
Hii ni kila siku? Na unazuia nini kingine? Faida zake ni nini zaidi ya hiyo ulotaja lujikinga na ulozi.Choma mfupa wa noa vukiza moshi wake chumbani
Ole wako yeye naye arudishie.[emoji16][emoji16]Leo nafundisha live...!!! Kwa wale wasiopenda natanguliza kuomba radhi TUVUMILIANE kuna baadhi wanaohangaishwa yatawafaa
Wanga ni watu hovyo sana hukufanyia mambo ya kukuchosha mwili na vitu vya ajabu ajabu bila faida yoyote
Hivyo basi mtu wa kaliba naye hana budi kupata shida kidogo pale inapobidi
Tafuta ufanikiwe kupata mchanga wa nyayo zake akiwa peku,tafuta ndulele tatu jivu pilipili kichaa au ----- na kipande kidogo cha kaniki....changanya vyote ikibidi twanga ongeza na matone kadhaa ya damu yako kisha funga kaza sana kwenye kipande cha kaniki
1. Sigina na kisigino huku ukinuizia kama unataka miguu imuume
2. Choma na sindano ukitaka miguu ichome chome
3. Banika motoni ukitaka miguu yake iwake moto
4. Kaanga kwenye kikaango kikavu ukitaka miguu imuwashe
Fanya hivi kama unaamini hizi mambo na una roho mbaya ya visasi...kumbuka kuna hukumu siku ya kiama
Sihusiki na matokeo ya matendo yako
Hayo ni yangu mimi binafsi hata nikuambia wewe haina faida kwako kaa ujue yako yangu unayatakia nini? Peponi kila mtu atakwenda kwa matendo yake na siyo kujinadi JF .BADO MMOJA, kwa kuegemea ulimwengu wa nyama unaoonekana, anyway, unaamini ktk Jehanum na Mbingu?
[emoji3][emoji3][emoji3] Kumvizia mpaka hawe peku happy napo mziki .wengine ndala na viatu mdaKaniki inauzwa... Mchanga unatega
Jr[emoji769]
Nasikia huwa wanarudisha lilikotoka yanakupata hayo hayo.
[emoji3][emoji3][emoji3] Kumvizia mpaka hawe peku happy napo mziki .wengine ndala na viatu mda
Sent using Jamii Forums mobile app