Mkomoe mwanga

ndo naiona leo. asante. nimependa hapo ulipojitoa kwamba huhusiki
 
Mshana jr shennnzz veve

 
Mi nataka nijue namna ya kumuona mtu ambaye kaja usiku kimazingara wanasema ati kuna jinsi ya kufanya ukamuona jr mshana
 
kuna thred mshana ulielezea jinsi ya kuona wachawi, nikumbushe
 
Fanya hivi kama unaamini hizi mambo na una roho mbaya ya visasi...kumbuka kuna hukumu siku ya kiama
Sihusiki na matokeo ya matendo yako
Siku zote huwa napita kimya kimya bila kelele. Ila ya leo nimecheka sana, hasa kwenye *****kumbuka.....**** hivyo kila mtu na afanye kwa hasara ya roho yake mwenyewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…