Mkomoe mwanga

Mkomoe mwanga

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,038
Reaction score
828,830
Leo nafundisha live...!!! Kwa wale wasiopenda natanguliza kuomba radhi TUVUMILIANE kuna baadhi wanaohangaishwa yatawafaa

Wanga ni watu hovyo sana hukufanyia mambo ya kukuchosha mwili na vitu vya ajabu ajabu bila faida yoyote
Hivyo basi mtu wa kaliba naye hana budi kupata shida kidogo pale inapobidi

Tafuta ufanikiwe kupata mchanga wa nyayo zake akiwa peku,tafuta ndulele tatu jivu pilipili kichaa au ----- na kipande kidogo cha kaniki....changanya vyote ikibidi twanga ongeza na matone kadhaa ya damu yako kisha funga kaza sana kwenye kipande cha kaniki
1. Sigina na kisigino huku ukinuizia kama unataka miguu imuume
2. Choma na sindano ukitaka miguu ichome chome
3. Banika motoni ukitaka miguu yake iwake moto
4. Kaanga kwenye kikaango kikavu ukitaka miguu imuwashe
Fanya hivi kama unaamini hizi mambo na una roho mbaya ya visasi...kumbuka kuna hukumu siku ya kiama
Sihusiki na matokeo ya matendo yako
 
wewe ni wakala wa Ibilisi, Vitabi vya dini vinasema uchawi/uganga/ulozi ni dhambi, baada ya kukemea na watu wamrudie Mungu wewe unataka watu waendeleze hayo mambo!
Kisasi ni juu ya Mungu na wala si juu ya Mwanadamu, Unatumika na shetani, either unajijua or hujijui!
Mungu akurehemu.
 
Taratibu basi ndugu hebu tulia usome kwa tafakuri mpaka mwisho kisha kaa tulia ndio upost...ukifanikiwa kufanya hivyo utajikuta unapost kitu tofauti na hiki
 
wewe ni wakala wa Ibilisi, Vitabi vya dini vinasema uchawi/uganga/ulozi ni dhambi, baada ya kukemea na watu wamrudie Mungu wewe unataka watu waendeleze hayo mambo!
Kisasi ni juu ya Mungu na wala si juu ya Mwanadamu, Unatumika na shetani, either unajijua or hujijui!
Mungu akurehemu.

Wewe ndiyo unatakiwa mungu akurehemu mbona silaha zinauzwa dukani na ni hiyari yako ukanunue uitumie kuua binadamu mwenzako au mnyama na pia hilo somo na amekupa angalizo un a hiyari kufuata au kukataa uchawi upo hata kwenye vitabu vya dini umeandikwa na siyo kila kitu Mungu atakufanyia ndiyo maana umepewa akili ya lupambanua mema na mabaya na suala la kujihami na adui unatakiwa ufanye yale unayoyafahamu wewe kama binadamu na yaliyo nje ya uwezo wako Mungu atakusaidia ndiyo maana unafunga mlango ingelikuwa kila kitu ni Mungu basi hata milango tusingefunga kwakuwa mungu atakulinda hebu jaribu kutokupisha ambulance uone mungu atakulinda au??? IMANI ZINGINE JARIBUNI KUTAFAKARI KWA KINA KABLA YA KUKURUPUKA MIMI NAMPA BIG-UP MSHANA ENDELEA KUSHUSHA SOMO LA KAMATI YA UFUNDI ILA NI NANI UTAMPATA AKIWA PEKU SIKU HIZI NA KUNA WENGINE UKICHUKUA NYAYO ZAO KAMA MIMI HULALI SASA HAPO INAKUWAJE???
 
wewe ni wakala wa Ibilisi, Vitabi vya dini vinasema uchawi/uganga/ulozi ni dhambi, baada ya kukemea na watu wamrudie Mungu wewe unataka watu waendeleze hayo mambo!
Kisasi ni juu ya Mungu na wala si juu ya Mwanadamu, Unatumika na shetani, either unajijua or hujijui!
Mungu akurehemu.
Acha papara dogo unakua kama hujielewi embu tulizana kwnz ukiona kama huilewi jaribu tu kuchapa lapa yaani go
 
Kuna mapungufu nimeyaona kwako, umenikosoa kwa kuegemea ulimwengu wa nyama unaoonekana, anyway, unaamini ktk Jehanum na Mbingu?

Pole sana usidhani wote tunauelewa mdogo kama wako juu ya ulimwengu wa roho na ulimwengu wa mwili hako unakokafahamu wewe ni 0.01% lakini kuna makubwa kuliko unayoyafahamu kuhusu ukristo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom