Mtanzanyika
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 369
- 431
Anajifanya much know sana ndo maana watu wanamponda.! Ukiwa katika harakati za kutafuta kazi inabidi uwe na adabu na heshima kwa sababu hujui nani atakusaidia., ukianza kujibu shiit na dharau ndo tatizo. Huyu Perry inaonekana kweli ana uhitaji wa kazi, ila jaribu kuangalia threads zake na hata replies zake kwenye threads za wengine utaona kitu.we nae acha utoto sasa,unapata faida gani kufuatiliana na mtu msiejuana?kwani ni dhambi kwa mtu kuwa mjasiriamali wa bata au njiwa?nilitegemea umpongeze huyo kijana,naona kutokea jana umemwandama huyu dogo as if sijui anafanya kosa kutafuta kazi,mbona hata sie wakongwe bado tunatafuta kazi zenye maslahi na tunafanya interview na tunapigwa chini?iweje kwa huyu dogo iwe dhambi.mshaurini cha kufanya ili aweze kufanya vyema kwenye usaili ila sio huo utoto wa kumcheka na wakati na nyie mko mulemule tu hamna kazi kama yeye.kuweni wastaarabu bwana.
sasa kukwaruzana na jitu usilolijua humu huoni kama ni kupoteza muda na nguvu zenu tu?Anajifanya much know sana ndo maana watu wanamponda.! Ukiwa katika harakati za kutafuta kazi inabidi uwe na adabu na heshima kwa sababu hujui nani atakusaidia., ukianza kujibu shiit na dharau ndo tatizo. Huyu Perry inaonekana kweli ana uhitaji wa kazi, ila jaribu kuangalia threads zake na hata replies zake kwenye threads za wengine utaona kitu.
Mi nimesema tu.! Siwezi kwaruzana na mtu kwa mambo kama haya., mimi ni mtu mzima ninayejitambuasasa kukwaruzana na jitu usilolijua humu huoni kama ni kupoteza muda na nguvu zenu tu?
muelimisheni,haina umuhimu wa kumkebehi hata kama hajielewi.Mi nimesema tu.! Siwezi kwaruzana na mtu kwa mambo kama haya., mimi ni mtu mzima ninayejitambua
muelimisheni,haina umuhimu wa kumkebehi hata kama hajielewi.Mi nimesema tu.! Siwezi kwaruzana na mtu kwa mambo kama haya., mimi ni mtu mzima ninayejitambua
Kwani kwenye Makundi yenu huwa hampati nafasi ya kuelimishana?[emoji160]muelimisheni,haina umuhimu wa kumkebehi hata kama hajielewi.
Sasa huko ndo kuajiri bila kujuana.?nmb hii hii watu wanaajiliwa sema ajira zinakuwa za chini kwa chini kwenye zone zao sio zinazotangazwa
sijui kwanini unamuandama sana dada wa watu kila anapotoa post nilazima umtukane tuwe wastaarabuKwani kwenye Makundi yenu huwa hampati nafasi ya kuelimishana?[emoji160]
Hayo maneno Uliyo Quote yana Matusi? au huyajui Matusi Mbwa wewe.sijui kwanini unamuandama sana dada wa watu kila anapotoa post nilazima umtukane tuwe wastaarabu
kama kawa wote wa kata na wa cuo ca taifa tunasaga lami ase...doo alikariri life,alizani bado tupo zama za nyerere. Ila sikuakitusua uyu jamaa sijui itakuaje umu jukwaani,nazani hatutolala vizur kwa mashauzi yake. Munu amtanulie katika ili zoezi though.nakumbuka vyuo vingine vilivyokuwa vinapondwa na kuitwa vyuo vya kata mshikaji alikuwa mmoja wapo jukwaa la elimu daa kumbe vyuo visivyo vya kata na venyewe bahasha zinawahusu pia.
sija quote neno lolote mkuu embu punguza hasira na jazbaHayo maneno Uliyo Quote yana Matusi? au huyajui Matusi Mbwa wewe.