we nae acha utoto sasa,unapata faida gani kufuatiliana na mtu msiejuana?kwani ni dhambi kwa mtu kuwa mjasiriamali wa bata au njiwa?nilitegemea umpongeze huyo kijana,naona kutokea jana umemwandama huyu dogo as if sijui anafanya kosa kutafuta kazi,mbona hata sie wakongwe bado tunatafuta kazi zenye maslahi na tunafanya interview na tunapigwa chini?iweje kwa huyu dogo iwe dhambi.mshaurini cha kufanya ili aweze kufanya vyema kwenye usaili ila sio huo utoto wa kumcheka na wakati na nyie mko mulemule tu hamna kazi kama yeye.kuweni wastaarabu bwana.