muulize yule askofu aliyechukua escrowkuna mwenye kujua kama mkombozi bank wameita zile kazi walizotangaza juzi kati?
Hata mimi niliomba mkuu perry....ila naona kimya,ngoja tuvute subrah kidogo.
Nami pia niliomba, customer service officer's, ila naona kimyaaaaa mpaka leo..... Na pia FIRST NATIONAL BANK na wenyewe sijui wameita?
kuna mwenye kujua kama mkombozi bank wameita zile kazi walizotangaza juzi kati?
Watu wapo training ya kaz(watu wapo kazini)
deadline c ilikua juzi tu hapa,wameita lini?
deadline c ilikua juzi tu hapa,wameita lini?
Dooh hata hii ulikosa? Pole jipe moyo...kuna mwenye kujua kama mkombozi bank wameita zile kazi walizotangaza juzi kati?
Hao FNB email yao ilivozingua nikaachana nao, kila l kheri budaNami pia niliomba, customer service officer's, ila naona kimyaaaaa mpaka leo..... Na pia FIRST NATIONAL BANK na wenyewe sijui wameita?
Sawa wadanganye wenzako na kuwapa moyo.usitishe watu nmb wanaajili hata kama hawakujui
NMB ipi?usitishe watu nmb wanaajili hata kama hawakujui
Bora umuulize wewe MkuuNMB ipi?
we nae acha utoto sasa,unapata faida gani kufuatiliana na mtu msiejuana?kwani ni dhambi kwa mtu kuwa mjasiriamali wa bata au njiwa?nilitegemea umpongeze huyo kijana,naona kutokea jana umemwandama huyu dogo as if sijui anafanya kosa kutafuta kazi,mbona hata sie wakongwe bado tunatafuta kazi zenye maslahi na tunafanya interview na tunapigwa chini?iweje kwa huyu dogo iwe dhambi.mshaurini cha kufanya ili aweze kufanya vyema kwenye usaili ila sio huo utoto wa kumcheka na wakati na nyie mko mulemule tu hamna kazi kama yeye.kuweni wastaarabu bwana.