Mkoloni mwarabu na hasara zake kielimu

Mkoloni mwarabu na hasara zake kielimu

Status
Not open for further replies.
Labda tukubaliane na mleta mada kwanza ,halafu tumuulize maswali ya alichokiongea au alichotafiti.
Kwa sasa nchi yetu ina uhuru mkubwa wa kujielimisha kuliko tuliomaliza shule miaka ya tisini.
Swali langu kwa mleta mada,tuseme ni kweli waarabu hawakujenga shule wala kuwapa motisha jamii waliyoikuta kusoma,Je ,serikali yetu imewasaidiaje watoto kutoka jamii hizo?Je ,shule zilianzishwa kama shule za kata zinakidhi msingi wa kuwaelimisha jamii hiyo?Unapopeleka shule vijijini ambazo hazina walimu wa kutosha,wanye ujuzi wa kufundisha vizuri,shule zenye madawati na majengo mazuri,kwani miaka ya tisini tulikuwa na kila kitu madawati ya kutosha,walimu wazuri,miuondo mbinu ya kuridhisha shuleni,shule zilikuwa za bure.

Je,tunapomlaumu mtoto huyu au mzazi wake ni sahihi ilhali serikali imekaa pembeni ikitizama wachache wakijineemesha kwa mgongo wa wengi ,halafu leo tunasingizia watoto hawa sababu ya waarabu.Tafadhli tuwe realistic kwenye hoja zetu.

Kuna mtoto alikataa shule akamwambia mzazi wake hataki kukaa chini na kwamba walimu shuleni hawafundishi amtafutie shule nyingine ambayo watoto wanakaa kwenye viti na wanajifunza kiingereza,mzazi alibaki hoi.Kwa hili tu ninauhakika hakuna mtoto wa jamii yoyote asiyependa shule ili aelimike tusijidanganye

Kama watanzania tunatakiwa kuibana serikali iache blahblaa na isichezee elimu tusijetukajikuta tunaongozwa na wakenya na waganda kisa eti watoto wetu hawakuelimika vya kutosha hivyo hawawezi kuongoza,watanzania tuamke asubuhi ndiyo hii tusingoje kuchwe tuje kustuka.

Wabunge wetu mnaosinzia bungeni amkeni sasa,hali siyo nzuri ya watoto wetu sis jamii fukara.
 
Umempa jibu zuri sana huyo chakubimbi..

Watu kama hao ni wale wafuata upepo wasio tambua wanatoka wapi na wanakwenda wapi.,.
Mbona unamwita mwenzio chakubimbi?, Mkuu hii ni jeuri ya nini?, dini au imani?, matokeo ya imani au dini yanatakiwa yawe busara, unyenyekevu na upole, why is it opposite to you?, Kama nikiambiwa nitaje vitu vibaya kabisa duniani, dini naweza nikaiorodhesha.
 
Ni kweli lakini sio sababu ni uvivu tu. Mfano Zanzibar wazee wa zamani kama Rasi shein na Bilal wamesoma sana wakati wa kizazi chao wengine mpaka PHD lakini miaka 40 baada yao elimu ni duni Zanzibar kuliko zamani. Hii ni kwasababu ya uongozi mbovu wakati wa Nyerere elimu ilikuwa lazima. Vilevile tumeona Juzi sisi tuliosoma miaka ya 1990's tuna elimu kuliko wadogo zetu kwasababu misingi ilikuwa bado mizuri.

Strange reasoning this! Uongozi ni mbovu kwa kukupa elimu??? Give me "uongozi mbovu" unaoni-gurantee elimu anyday!
 
Sasa hao waliokuwa hawajatawaliwa na muarabu wameifikisha wapi tanganyika,au kuuza twiga wazimawaziama ndio kusoma kwingi?

Hatuwezi kusonga mbele ikiwa miongoni mwetu kuna wajinga. Mtu anawaza kuzaa na kucheza bao, naye ni sehemu ya jamii, unategemea nini?

Zisikilize nyimbo za taarab, zinaimba nini? Hakuna cha maana katika vichwa vya baadhi ya watu, ni upuuzi tu ndio uliojaa. Sasa ukihoji kina fulani wamefanya nini, jiulize kama na wewe unawapa nafasi ya kufanya au UMEKUWA MZIGO.

Mtaani kwetu kulianzishwa Harambee Kanisani ya ujenzi wa Barabara, wazo zuri la Paroko. Katika hali ya kushangaza, wakazuka wavaa makubazi wawili watatu wakahoji kwa nini tufanyie vikao kwenye shule ya kanisa, kuondoa mzizi wa fitina wakaambiwa wapendekeze sehemu nyingine. Wakapendekeza baa ya jirani ambayo mwenyewe anataka alipwe 20,000 kwa ajili ya viti vyake. Baada ya mwenyekiti wa kamati kusema kila mtu achangie 500 ili kukidhi hiyo gharama, vibabu hivyo hivyo vifubavu vya akili ndio vilikuwa vya kwanza kusema 'serikali' igharamie. Matokeo yake na mradi wenyewe ukafa sababu ya wapuuzi wachache
 
Mbona hutaji Dar es salaam ?
Hiyo mikoa uliyotaja yote mnakimbilia pwani....
Haya tangu lini mtu akakimbia maendeleo akaenda kwenye dhiki ...
Uisitufanye sisi wehu

Hahaaa.... income ya mikoa yako yako yote unayojivunia ukiunganisha kwa pamoja haifikii wilaya ya ilala...

Kwa maelezo zaidi msome huyu
Barghash bin Said of Zanzibar - Wikipedia, the free encyclopedia
Dar es Salaam - Wikipedia, the free encyclopedia

Na lile jengo pale kivukoni linalo fanana na msikiti unajua nani kalijenga ?
Si unaona linavypendeza Hadi slaa anaota kwenda kuishi pale

Tumia akili wewe, DAR si mji wa wenyeji tena. Idadi ya wahamiaji hapa dar ni kubwa kuliko yeyote yule anayeweza kujiita mwenyeji.

Kinachozungumziwa hapa ni ATHARI ZA KIJAMII alizoacha Muarabu. Tazama Ujiji na Unyanyembe zilivyoendekeza uchawi na kukataa elimu. Majengo si Elimu. Elimu katika mikoa ya Pwani ni duni kwa kuwa wenyeji wa mikoa hiyo wameendekeza mambo yasiyo na maana na uvivu.

Ukitaka kuchambua jamii angalia mambo ya jamii hiyo siyo majengo ya Mkoloni.
1. Bagamoyo imechangamka miaka ya karibuni baada ya wageni toka mikoa mingine kuhamia huko. Hapo mwanzo ilikuwa ni uchawi na madogoli tu. Lkn sasa kina mangi wameingia huko kumekucha.

2. Umesikia jinsi watoto wa Kibiti wanavyowafanyia walimu. Hakuna mwamko wa elimu na wazazi hawana juhudi. Nani anathamini elimu huko?

3. Sikiliza nyimbo za taarab. Huo ndio utamaduni wa pwani. Nyimbo zimejaa mafumbo yanayohusu UKEWENZA na MAJUNGU. Hakuna cha maana kinaimbwa kwenye taarab zaidi ya mitaala na upuuzi mwingine kwani ndio vilivyojaza akili za watu wa Pwani.

Hii yote ni kukwepa ukweli. Huyu Mwarabu amefanya watu akili zao zifubae. Leo hii pale Mikindani (Mtwara) wakifika Wachaga utapashangaa. Lkn kwa kuwa sasa wapo wenyewe tu, shughuli ni kucheza wali ngoma na kulogana.

Halafu acha kujipotosha wewe. Ikulu ya Tanzania ilijengwa na Wajerumani 1890s. Kufanana na msikiti sijui unamaanisha nini kwani hata Wahindi majengo yao yanafanana hivyo. Sio kila jengo lenye round corners ni msikiti, makanisa ya Kale yamejengwa hivyo.

berlin-thumb5340953.jpg


Hili ni jengo la kihistoria liko Berlin, Germany.

modern-dome-in-old-buildings5-500x333.jpg


Yote hii Germany. Enjoy The Atmosphere of The Parliament Meeting in a Modern Dome Old Buildings | Modern Architecture Building Design

Sio kila anachosema Mohamed Said ni sahihi bwana mdogo. Manake hapo mtatangaziwa kuwa ni Waislam wa Msikiti wa Manyema na Mtoro ndio walibeba mawe baharini kujenga Ikulu na nyie kwa akili zenu mtaandika hivyo hivyo kwenye mitihani halafu mumlaumu Dr. Ndalichako
 
sio kweli soma history wakati anakuja mkoloni mwingeleza alikuta jamii ya kiislamu inajua kusoma na kuandika na ndo wakawa makarani katika ofisi za waingeleza ila kilichokuja kutokea ni pale wamisionari wakristo walipokuja na mfumo wao mpya wakiuita formal education huku wakitambua kwa kufanya hivyo watawapata wafuasi zaidi kwani ili upate elimu bila shida basi ni lazima imani yako iwe kama ya paul na ester huo ndo ukawa mwisho wa jamii za kiislamu kielimu inayoita elimu dunia ingawa waislamu wameagizwa wasome bila kuchagua ilimladi wasikufuru ktk hiyo elimu kwa hiyo mtoa mada usipende kutumia udini wako kufikiri tumia akili yako uliyopewa na mungu kuchambua mambo
ungetuelekeza na vitabu hivyo nasi tuiamini hoja unayoijenga!
 
sidhani kama mwarabu alikuwa mkoloni hapa bara. Yule alikuwa mfanyabiashara. Labda kama huijui historia. Waafrika aka akina mkwawa, kinjekitili, abushiri, hasan makunganya hawakupigana na waarabu kwa sababu hawakuja kutawala bali walikuwa wafanyabiashara tu. Otherwise zitakuwa ni chuki.
ni kweli walifanya biashara kwa mtindo tofauti na wazungu ambao walikuja kufanya biashara na kwa kutambua kuwa huwezi kufanya biashara kwa amani bila kuimiliki siasa wakaamua kututawalakabisa lakini wote ni wezi tu ,na wangine walikuwa washenzi zaidi walituuza kama bidhaa na udhalilishaji mwingine
 
Mbona hutaji Dar es salaam ?
Hiyo mikoa uliyotaja yote mnakimbilia pwani....
Haya tangu lini mtu akakimbia maendeleo akaenda kwenye dhiki ...
Uisitufanye sisi wehu

Hahaaa.... income ya mikoa yako yako yote unayojivunia ukiunganisha kwa pamoja haifikii wilaya ya ilala...

Kwa maelezo zaidi msome huyu
Barghash bin Said of Zanzibar - Wikipedia, the free encyclopedia
Dar es Salaam - Wikipedia, the free encyclopedia

Na lile jengo pale kivukoni linalo fanana na msikiti unajua nani kalijenga ?
Si unaona linavypendeza Hadi slaa anaota kwenda kuishi pale
DU PENGINE JAMAA HAJAKOSEA KUKUFANYA MWEHU HIVI UNAJUA COPMPOSITION YA DA ES SALAAM!
Waswahli wangapi wanamiliki uchumi ! ukiondoa wachache sana wanaofanana nao kwa maneno pekee!
 
acha upumbavu wako wewe hakuna uhusiano wowote kuandika kuanzia kulia kwenda kushoto mtu asiwe na akili. mimi mwenyewe nimesoma sana madrasa lakini form form nimepiga one ya point 11 na form six one ya tisa na kwa sasa ni engineer tena nimesomea nchi za ulaya. acha hujua mkuu. changia point na sio kukashifu dini za watu. pumbafff

Nakufahamu baada ya madrasa ulisoma shule ya ELCT!!! ---- wewe.
 
kahesabu ghorofa zilizopo Ilala na Dar nzma kama hutakuta 90% ni za Mchaga,Mkinga na wenyeakili ya kutafuta pesa. Wala hukut kichwa maj kama wewe.
Dar ya weng ndiyo maana sikuitaja.
Pole kwa kukuumiza.
haha Unajifariji nani kakwambia Ghorofa za wachaga....ndio mnavyodanganyana kwenye vikao vyenu vya mbege ?
Kwa kuwa Dar ina Maghorofa sio Pwani ?
Ok tufanye Dar ipo Kilimanjaro ... umefurahi ee ?
 
DU PENGINE JAMAA HAJAKOSEA KUKUFANYA MWEHU HIVI UNAJUA COPMPOSITION YA DA ES SALAAM!
Waswahli wangapi wanamiliki uchumi ! ukiondoa wachache sana wanaofanana nao kwa maneno pekee!

Hatuangalii composition ...yeye kataja sehemu zenye maendeleo...hajataja watu gani wanamiliki uchumi....aleyafanywa Mwehu ni wewe...

Kama Dar es salaam sio Pwani basi mimi mwehu...
Kama Dar es salaam ni pwani wewe Mwehu...
Ngumu kumeza lakini itabidi muishi nao huo ukweli...
 
Tumia akili wewe, DAR si mji wa wenyeji tena. Idadi ya wahamiaji hapa dar ni kubwa kuliko yeyote yule anayeweza kujiita mwenyeji.

Wewe ndio unatakiwa utumie akili....
Dar ni Pwani au sio pwani ?
Mtoa posti Kasema mikoa ya Pwani haina maendeleo....
Kwani hiyo mikoa mengine ambayo ameitaja uchumi wote(Kama upo Kweli) unamilikiwa na wenyeji ?
Tumia akili ... usikurupuke
 
Asiyekubali ukweli hawezi kubadilika. Dar ni tofauti sana na maeneo ya Lindi, Pwani, Mtwara na Tanga (ukindoa Muheza na Lushoto). Dar ni mkusanyiko wa makabila na mataifa mbalimbali. Ukweli ni kwamba maeneo haya kimaendeleo bado sana.

Watu kutoka mikoa ya Kilimanjaro, Kagera, Mbeya na Mwanza wanakimbilia maeneo haya because there are a lot of untapped development opporunities. Hivi kuna mtu ambaye anaona kwamba kufanya hivi ni kufuata maendeleo ya maeneo husika? Hivi wazungu kuja huku TZ wanakuja kufuata maendeleo?

Ukweli unabaki pale pale ...Kwamba kama Tanga ni Pwani basi Dar es salaam ni pwani...
Hatuangalii nani anakaa Dar es alaam....Hoja je Dar es salaam ni pwani au si Pwani ?
Mbona Hamitolei Kashfa Dar es salaam...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom