Mkoloni mwarabu na hasara zake kielimu

Mkoloni mwarabu na hasara zake kielimu

Status
Not open for further replies.
Kujua kwa nini mikoa ya pwan inafanya vibaya inabid utrace historia halisi na historia halisi hamna.kilichokuwepo ni uongo wa historia.ivi tujiulize swal dogo tu mji wa kilwa kisiwan ndo mji uliokuwa imara kiuchumi enzi izo,kwa nn leo hamna kitu?tutrace historia za kwel kwa nn huku kupo ivi na si kuleta mzaha.
 
Mwenzio hajazungumzia suala la dini wewe unakimbilia mitume, mitume kitu gani bwana, acha ujinga we jamaa, hao mitume wanakujua wewe?, to hell with your mitumez.

Yeye kasema wote wanaoandika kutoka kulia hawana akili ...aliwalenga waislamu..amesahau kuwa YESU alikuwa akisoma na kuandika kutokea kulia vile vile...kwa hiyo kwa mujibu wake YESU hana akilia...

Umeelewa ?
ni hesabu rahisi tu..kama hujaelewa niambie nirudie

wewe kweli mbaguzi ... baada ya kumrukia jamaa kamtukana YESU unanirukia mimi nnayemtetea ... hata kama huna dini inabidi umuheshimu YESU KRISTO wa NAZARETI kwani ni Kiongozi na ana wafuasi zaidi ya bilioni moja duniani
 
Wewe unataka kumlisha maneno jamaa, hakuna sehemu ametaja yesu wa nazareti wala mohamed wa salalei salimu, Lengo lako wewe ni kuzusha uongo ili ibainike kuwa jamaa ametukana mitume, upate hisia za kidini toka kwa wasomaji, mbaya sana hii,

Sisi sote ni watanzania, ni bora tukapendana kwanza sisi bila kujali dini zetu halafu baadae ndio tujidai tunawapenda hao mitume ambao wala hawatujui.
Kiukweli sina dini ila ningekuwa nayo ningependa dini yangu iwe UPENDO.
Yeye kasema wote wanaoandika kutoka kulia hawana akili ...aliwalenga waislamu..amesahau kuwa YESU alikuwa akisoma na kuandika kutokea kulia vile vile...kwa hiyo kwa mujibu wake YESU hana akilia...

Umeelewa ?
ni hesabu rahisi tu..kama hujaelewa niambie nirudie

wewe kweli mbaguzi ... baada ya kumrukia jamaa kamtukana YESU unanirukia mimi nnayemtetea ... hata kama huna dini inabidi umuheshimu YESU KRISTO wa NAZARETI kwani ni Kiongozi na ana wafuasi zaidi ya bilioni moja duniani
 
Toka lini mtu anayesoma na kuandika kuanzia kulia kwenda kushoto akawa na akili? Hiki ni ki nyume nyume

Wewe unataka kumlisha maneno jamaa, hakuna sehemu ametaja yesu wa nazareti wala mohamed wa salalei salimu, Lengo lako wewe ni kuzusha uongo ili ibainike kuwa jamaa ametukana mitume, upate hisia za kidini toka kwa wasomaji, mbaya sana hii,

Sisi sote ni watanzania, ni bora tukapendana kwanza sisi bila kujali dini zetu halafu baadae ndio tujidai tunawapenda hao mitume ambao wala hawatujui.
Kiukweli sina dini ila ningekuwa nayo ningependa dini yangu iwe UPENDO.

Sisi tunaosoma Kutoka kulia tumemuelewa anamaanisha nini...
Kuna maana ya dhahiri na iliyojificha ... kama Hukuiona maana iliyojificha teyari nimeshaifichua
 
waswahili wana misemo, akili nyingi huondoa maarifa..kuna watu wa elimu ya level ttafauti katika theology ya christianity, islam, budhism etc etc, wako wenye mpaka pHD kwa hio kwa tamthilia yako hii hawa hawana akili kwa kuwa hawakuwa na elimu uitakayo wewe...

mkoloni ni mkoloni tu, kila mmoja kainfluence kwa muono wake na tradition zake, waarabu walijitweka katika dini yao na taaluma zao kwa tradition zao, na ndio maana yale majumba yaliojengwa na architects wa kiarabu ambao unawaona hawana akili yamedumu na kuwa miongoni mwa wonders za dunia ya sasa..hakuna mkoloni mzuri, wote waliwaiba watu na kuwafanya watumwa, waliiba mali za nchi na kujigawia wenyewe, kule congo yule mfalme wa belgium alioyafanya na elimu yake unayoiona bora hayawezi kupewa hata utu wa kibinaadamu, na hadi miaka ya 60 marekani kwenye civilization kubwa na elimu ya dunia still kulikuwa na segregation baina binaadamu kwa miisingi ya ngozi, south africa na list iko ukbwa, hawana tafauti kwa ,atendo yao, wote wakiwa wakoloni walijiona wabora na hata hizo elimu walizotoa ilikuwa zaidi kwa faida yao wenyewe.

elimu ni elimu tu, hata waliosomea tamthilia na kuwa phd za tamthilia ni wasomi seuze wenye elimu ya dini..mkoloni ni mkoloni tu hana rangi wala kabila, ni vitendo vyake..
 
Sasa hao waliokuwa hawajatawaliwa na muarabu wameifikisha wapi tanganyika,au kuuza twiga wazimawaziama ndio kusoma kwingi?
Mawazo mgando yaliyokaa kiarabuarabu!!! Aisee, dini bwana ni kama kirusi kinachoingia kwenye computer na kuua kabisa hata basic operating system!!! Pole sana kwa kuwa mhanga wa kirusi.
 
Mara kadha nimekuwa nikijiuliza, kwanini Watu wa Maeneo yaliyokaliwa na mkoloni mwarabu hasa wale waliofuata utamaduni wa mkoloni mwarabu huwa hawafanyi vizuri kielimu!? Kisha nikapata majawabu kadhaa ambayo haikuwa rahisi kujua kama kweli yalikuwa sahihi au lah, majawabu hayo ni kama yafuatayo:

(i) mkoloni huyu hakutoa fulsa za kielimu kwa watu aliowatawala.

(ii) lifestyle ya huyu mkoloni inakinzana na elimu inayotolewa nchini hivyo watu wanaoiga lifestyle yake wanafeli mitihani.

(iii) uongozi uliofuata baada ya mkoloni mwarabu haukutoa fulsa za kielimu maeneo aliyoyakalia.

Tathmini yangu alikolezwa na habari niliyoisoma katika gazeti la Mwananchi kama inavyoonekana hapo chini.

KUTOKANA na mfumo wa elimu
ulivyo, mitihani hasa ile ya taifa,
ndicho kipimo kikubwa cha
kiwango na maendeleo ya elimu
nchini.
Ingawa baadhi ya wadau wa elimu
wamekuwa wakishauri mitihani
isiwe kipimo pekee cha elimu, bado
mfumo tulionao unatutaka
kuwapima wanafunzi kupitia
nyenzo ya mitihani pekee.
Kwa kipimo hicho, ni wazi kuwa
mikoa iliyo Pwani na Kusini mwa
nchi hii, ina tatizo la msingi katika
utoaji wake wa elimu.
Sote ni mashahidi kuwa, katika
mitihani wa kidato cha nne
uliofanyika mwaka 2011, shule nane
kati ya 10 zilizovuta mkia kitaifa,
zilitoka katika mikoa ya Pwani nat
Tanga
Kwa mujibu wa matokeo hayo, shule
hizo zilizokuwa na watahiniwa
zaidi ya 40, zilikuwa Bwembwera,
Pande Darajani, Mfundia, Zirai,
Tongoni (Tanga), Maneromango na
Kibuta (Pwani).
Kama hiyo haitoshi, matokeo ya
mtihani wa kidato cha pili
uliofanyika nchi nzima mwaka jana,
unaonyesha kuwa shule zilizofanya
vibaya zaidi kitaifa zinatoka ukanda
wa Kusini.
Shule hizo ni Kinjumbi, Miguruwe,
Njinjo, Mbembaleo, Marambo,
Mihambwe, Jinduma, Kiroma,
Luagala Napacho na Litipu.
Aidha, matokeo ya mtihani wa
kidato cha nne yalitoka wiki iliyopita
yanaonyesha namna shule za mikoa
hiyo zilivyofanya vibaya.
Kwa mujibu wa matokeo hayo,
orodha ya shule kumi za mwisho
inajumuisha shule nane zinazotoka
mikoa hiyo.
Shule hizo zenye watahiniwa zaidi
ya arobaini ni Mibuyuni (Lindi),
Ndame (Unguja), Namndimkongo
(Pwani), Chitekete (Mtwara),
Kwamndolwa (Tanga), Kikale
(Pwani), Mkumba na Tongoni
(Tanga).
Kwa mtu mdadisi wa mambo,
lazima ajiulize kwa nini shule
zinazotoka katika ukanda mmoja
ziwe nyingi katika kundi hilo.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo
ya Ufundi Philip Mulugo, anadhani
hali hiyo inasababishwa na uhaba
wa walimu jambo linalomfanya
asema kuwa mwaka huu Serikali
itapeleka walimu katika eneo hilo.
watakuja na visingizio vya mfumo kristo mara M.O.U,ilimradi tu wa justify mapungufu yao kielimu/ilmu.
 
Wengi wetu humu tumetoka mada ya topic hii
mleta mada alisema
Watu wa maeneo yaliyokaliwa na mkoloni mwarabu huwa hawafanyi vizuri kielimu,

Kwa ufahamu wangu mie (nimefika darasa la saba ukibishana na mie nitakuhesabu nawe hukusoma) fair warning, mikoa ambayo wanafuata utamaduni wa mkoloni mwarabu mingi ni mikoa ya pwani kuanzia Mtwara mpaka Tanga, ukiwacha mikoa yote Dar es salaam ndio kitovu cha mkoloni mwarabu, elimu yote ilikuwako Dar, nafikiri mtoa mada hakufanya utafiti kamili, amekurupuka kutoa mada yake,
Mtowa mada alikuwa aulize kwanini Elimu ya Tanzania imeanguka?
Muingereza na Mjarumani ndio walikuwa watawala wakubwa hapa Tanzania tungelifanya uchunguzi kamili kujuwa kwanini hakuendeleza elimu mikoa ya pwani,
Chuo cha mwanzo kikuu hapa TZ kipo DSM kwanini kisijengwe Tabora au Ruvuma? ukinipa jibu na kukufahamu tunaweza kujadiliana
Fair warning again my highest education is std seven akili kichwani mwako
Mara kadha nimekuwa nikijiuliza, kwanini Watu wa Maeneo yaliyokaliwa na mkoloni mwarabu hasa wale waliofuata utamaduni wa mkoloni mwarabu huwa hawafanyi vizuri kielimu!? Kisha nikapata majawabu kadhaa ambayo haikuwa rahisi kujua kama kweli yalikuwa sahihi au lah, majawabu hayo ni kama yafuatayo:

(i) mkoloni huyu hakutoa fulsa za kielimu kwa watu aliowatawala.

(ii) lifestyle ya huyu mkoloni inakinzana na elimu inayotolewa nchini hivyo watu wanaoiga lifestyle yake wanafeli mitihani.

(iii) uongozi uliofuata baada ya mkoloni mwarabu haukutoa fulsa za kielimu maeneo aliyoyakalia.

Tathmini yangu alikolezwa na habari niliyoisoma katika gazeti la Mwananchi kama inavyoonekana hapo chini.

KUTOKANA na mfumo wa elimu
ulivyo, mitihani hasa ile ya taifa,
ndicho kipimo kikubwa cha
kiwango na maendeleo ya elimu
nchini.
Ingawa baadhi ya wadau wa elimu
wamekuwa wakishauri mitihani
isiwe kipimo pekee cha elimu, bado
mfumo tulionao unatutaka
kuwapima wanafunzi kupitia
nyenzo ya mitihani pekee.
Kwa kipimo hicho, ni wazi kuwa
mikoa iliyo Pwani na Kusini mwa
nchi hii, ina tatizo la msingi katika
utoaji wake wa elimu.
Sote ni mashahidi kuwa, katika
mitihani wa kidato cha nne
uliofanyika mwaka 2011, shule nane
kati ya 10 zilizovuta mkia kitaifa,
zilitoka katika mikoa ya Pwani nat
Tanga
Kwa mujibu wa matokeo hayo, shule
hizo zilizokuwa na watahiniwa
zaidi ya 40, zilikuwa Bwembwera,
Pande Darajani, Mfundia, Zirai,
Tongoni (Tanga), Maneromango na
Kibuta (Pwani).
Kama hiyo haitoshi, matokeo ya
mtihani wa kidato cha pili
uliofanyika nchi nzima mwaka jana,
unaonyesha kuwa shule zilizofanya
vibaya zaidi kitaifa zinatoka ukanda
wa Kusini.
Shule hizo ni Kinjumbi, Miguruwe,
Njinjo, Mbembaleo, Marambo,
Mihambwe, Jinduma, Kiroma,
Luagala Napacho na Litipu.
Aidha, matokeo ya mtihani wa
kidato cha nne yalitoka wiki iliyopita
yanaonyesha namna shule za mikoa
hiyo zilivyofanya vibaya.
Kwa mujibu wa matokeo hayo,
orodha ya shule kumi za mwisho
inajumuisha shule nane zinazotoka
mikoa hiyo.
Shule hizo zenye watahiniwa zaidi
ya arobaini ni Mibuyuni (Lindi),
Ndame (Unguja), Namndimkongo
(Pwani), Chitekete (Mtwara),
Kwamndolwa (Tanga), Kikale
(Pwani), Mkumba na Tongoni
(Tanga).
Kwa mtu mdadisi wa mambo,
lazima ajiulize kwa nini shule
zinazotoka katika ukanda mmoja
ziwe nyingi katika kundi hilo.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo
ya Ufundi Philip Mulugo, anadhani
hali hiyo inasababishwa na uhaba
wa walimu jambo linalomfanya
asema kuwa mwaka huu Serikali
itapeleka walimu katika eneo hilo.
 
Toka lini mtu anayesoma na kuandika kuanzia kulia kwenda kushoto akawa na akili? Hiki ni ki nyume nyume

Kumbuka watoto wa bakresa wamesoma best universities in the world. Mohamed dewji na yusuph manji are few example. There is more than religion
 
acha upumbavu wako wewe hakuna uhusiano wowote kuandika kuanzia kulia kwenda kushoto mtu asiwe na akili. mimi mwenyewe nimesoma sana madrasa lakini form form nimepiga one ya point 11 na form six one ya tisa na kwa sasa ni engineer tena nimesomea nchi za ulaya. acha hujua mkuu. changia point na sio kukashifu dini za watu. pumbafff

Chezea dini ya watu wewe uttapiguwa jihad sasa hivi.. kaa mbali kijana
 
Mimi ninetokea maeneo hayo yaliyotajwa. Nadhani kikubwa ni kuwa mwarabu aliacha culture zake ambazo zimekuwa ngunu sana kufutika. Mwarabu alijenga zaidi madrasa. Ni wenyeji wachache sana ambao walishtuka kuwapeleka watoto wao kwenye shule za wakristo kwa ujanja wa kubadilisha majina kama alivvyofanya marehemu mosses nnauye. Psmoja na kubezwa kote nyerere (rip) alitaifisha shule za wamisionsri ili kutoa nafasi kwa watu wote. Matokeo yake wote tunayajua. Angalieni mentality za watu wa tanga kwa waarabu. Hii itakueleza kushamiri kwa biashara za akina raha leo, simba mtoto, bembea na kushindwa kufurukuta kwa wazawa. Walioweza kujipenyeza mjini tanga ni wachaga na wapare. Wazawa wako wapi? Biashara nyingi zinafungwa tanga ila za waarabu zipo? Wenyeji (ma home boy) tumekaa kimombasa mombasa na kutukuza wakina raha leo! This has a far reaching effects than what see at the surface.....!
 
Mbona hutaji Dar es salaam ?
Hiyo mikoa uliyotaja yote mnakimbilia pwani....
Haya tangu lini mtu akakimbia maendeleo akaenda kwenye dhiki ...
Uisitufanye sisi wehu

Hahaaa.... income ya mikoa yako yako yote unayojivunia ukiunganisha kwa pamoja haifikii wilaya ya ilala...

Kwa maelezo zaidi msome huyu
Barghash bin Said of Zanzibar - Wikipedia, the free encyclopedia
Dar es Salaam - Wikipedia, the free encyclopedia

Na lile jengo pale kivukoni linalo fanana na msikiti unajua nani kalijenga ?
Si unaona linavypendeza Hadi slaa anaota kwenda kuishi pale

kahesabu ghorofa zilizopo Ilala na Dar nzma kama hutakuta 90% ni za Mchaga,Mkinga na wenyeakili ya kutafuta pesa. Wala hukut kichwa maj kama wewe.
Dar ya weng ndiyo maana sikuitaja.
Pole kwa kukuumiza.
 
acha upumbavu wako wewe hakuna uhusiano wowote kuandika kuanzia kulia kwenda kushoto mtu asiwe na akili. mimi mwenyewe nimesoma sana madrasa lakini form form nimepiga one ya point 11 (Mi nilipata point 7) na form six one ya tisa(nilipata point 3) na kwa sasa ni engineer tena nimesomea nchi za ulaya(ni mwanasheria nimesoma havard). acha hujua mkuu. changia point na sio kukashifu dini za watu. pumbafff

next time kuwa makini, usidhan matokeo yako ni mazur kumbe tupo wenye matokeo mazur zaid yako, afterall kusoma ulaya si kitu cha ajabu siku hizi. Labda utambie umesoma chuo gan? Mnaenda ulaya mnasoma VYUO VYA KATA afu mnakuja kusumbua watu hapa jukwaan.
 
kahesabu ghorofa zilizopo Ilala na Dar nzma kama hutakuta 90% ni za Mchaga,Mkinga na wenyeakili ya kutafuta pesa. Wala hukut kichwa maj kama wewe.
Dar ya weng ndiyo maana sikuitaja.
Pole kwa kukuumiza.

like..... Wakat ujao asikurupukE, KINA YAKHEE WANASHINDA KUCHEZA BAO NA KWENYE VILINGE VYA KAHAWA HUKU WANAISHI KWENYE NYUMBA ZA MBAVU ZA UMBWA.
 
Tumia akili Hata Kidogo ...

Yesu Kristo aliongea Armaic pia inaandikwa kutoka kulia kwenda Kushoto....
Matamshi yake yapo karibu sana na kiarabu ... ni kama kiswahili cha kenya na Tanzania....
Hebrew lugha ya waisraeli nayo ni hivyo hivyo ni kama Kiarabu....
Hebrew alphabet - Wikipedia, the free encyclopedia
Aramaic language - Wikipedia, the free encyclopedia

Kwa mujibu wa posti yako Mtume Muhammad (SAW) na Jesus Christ (AS) wote hawana akili...

Hawa wana wafuasi zaidi ya bilioni 4 duniani
Subiri wenye dini zao waje wakufundishe adabu...
Kama wewe ni mpagani waachie wenye dini zao ...usiwatukanie mitume yao



Umempa jibu zuri sana huyo chakubimbi..

Watu kama hao ni wale wafuata upepo wasio tambua wanatoka wapi na wanakwenda wapi.,.
 
Asiyekubali ukweli hawezi kubadilika. Dar ni tofauti sana na maeneo ya Lindi, Pwani, Mtwara na Tanga (ukindoa Muheza na Lushoto). Dar ni mkusanyiko wa makabila na mataifa mbalimbali. Ukweli ni kwamba maeneo haya kimaendeleo bado sana.

Watu kutoka mikoa ya Kilimanjaro, Kagera, Mbeya na Mwanza wanakimbilia maeneo haya because there are a lot of untapped development opporunities. Hivi kuna mtu ambaye anaona kwamba kufanya hivi ni kufuata maendeleo ya maeneo husika? Hivi wazungu kuja huku TZ wanakuja kufuata maendeleo?
 
Asiyekubali ukweli hawezi kubadilika. Dar ni tofauti sana na maeneo ya Lindi, Pwani, Mtwara na Tanga (ukindoa Muheza na Lushoto). Dar ni mkusanyiko wa makabila na mataifa mbalimbali. Ukweli ni kwamba maeneo haya kimaendeleo bado sana.

Watu kutoka mikoa ya Kilimanjaro, Kagera, Mbeya na Mwanza wanakimbilia maeneo haya because there are a lot of untapped development opporunities. Hivi kuna mtu ambaye anaona kwamba kufanya hivi ni kufuata maendeleo ya maeneo husika? Hivi wazungu kuja huku TZ wanakuja kufuata maendeleo?

Wazungu si watanzania, watanzania wanatafuta opportunity sehemu yoyote ndani ya nchi na kufanya makazi ya kudumu popote pale.
 
Hivi kweli kwanini pale hata alikopita mwarabu hali ni mbaya. Ukienda pale pangani utakuta utakuta kila nyumba imejenga kibaraza spesho kwa ajili ya kupigia soga. Ukiwapa kazi ngumu kama ya kupalilia shanba hawawezi. Hivi mwarabu vipi?

Ukienda Mombasa nako watu ni kupiga soga, hawapigi kazi kama maeneo mengine ya Kenya, hivi mwarabu vipiiiiiiiii?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom