mangyi
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 723
- 878
Kuna issue ya muhimu sana spika kaiongea leo ambayo alinong'onezwa na wachina kwa isue ya bandari na reli. Kwamba ungetangulia ujenz wa bandari maana reli zitategemea mizigo kutoka huko.
Issue hii nimeiona iko sawa kwa upande wangu. Ila pia kuna jambo nimelifikiria kwa mda sana kuhusu UCHUMI WA VIWANDA. kiukweli nalo hili ni MKOKOTENI KUVUTA FARASI. Kwa sababu moja.
Viwanda vingi hapa kwetu vinategemea kilimo so naona KILIMO KWANZA ndo ingekua grand project ili tufikie uchumi huo wa viwanda. Isue nyingine ni uandaaji wa wataalamu wa hivyo viwanda pamoja na mazingira rafiki kwa viwanda.
Tukija kwenye isue ya usafiri wa anga bado napo kuna MKOKOTENI KUKOKOTA FARASI. Tumesikia kuna isue ya Shirika letu kujiendesha kwa hasara. Uhaba wa wataalamu pamoja na viwanja. Hivi ndo vingepewa priority na si ndege kwanza ili baadae Farasi akokote mkokoteni wake.
Siipingi serikali bali kiukweli iangalie ni jambo gani lipewe priority kwa faida ya baadae.