LoyalTzCitizen
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,234
- 883
Hehehehe! haya mamaa! lol!baada ya kutudanganya na ahadi za elimu bure sasa unatupele kwenye mikojo!!! Duuh, hii kali!!!
baada ya kutudanganya na ahadi za elimu bure sasa unatupele kwenye mikojo!!! Duuh, hii kali!!!
siku nyingine ukiwa unajinyoa chini...jaribu kuusogelea wembe!:focus:
Usijaribu... Usijaribu... Usijaribu... waweza pona tumbo, ukapata kichocho cha ubongo:A S angry: Imagine mtu ana kisonono au kaswende, kisha anakunywa mkojo wake ili ajitibu kuhara. embu fikiri apo:tape:Wakuu katika maisha yangu yote nimeiona hii kali! baada ya kuboreka na uchakuaji wa kura nimekutana na habarii hii nikiwa online! ningependa tushee hizi habari! via link hiyo hapo chini ya mtu kunywa mkojo wako mwenyewe ili kuzuia baadhi ya magonjwa sugu!:thinking::thinking:!
http://www.independent.co.uk/life-style/health-and-families/health-news/urine-the-bodys-own-health-drink-467303.html
Bora kupambana vinginevyo na ugonjwa wangu. Mkojo sitakunywa.
naamini mwenye ugonjwa sugu atajaribu kimyakimya..........,,,,,,,, naomba tu atu inform ikifanya kazi
Wakuu katika maisha yangu yote nimeiona hii kali! baada ya kuboreka na uchakachuaji wa kura nimekutana na habarii hii nikiwa online! ningependa tushee hizi habari! via link hiyo hapo chini ya mtu kunywa mkojo wako mwenyewe ili kuzuia baadhi ya magonjwa sugu!:thinking::thinking:!
www.independent.co.uk/life-style/health-and-families/health-news/urine-the-bodys-own-health-drink-467303.html
Narrated Abu Qilaba: "Anas said, "Some people of ‘Ukl or ‘Uraina tribe came to Medina and its climate did not suit them. So the Prophet ordered them to go to the herd of (Milch) camels and to drink their milk and urine (as a medicine). So they went as directed and after they became healthy, ….(Sahih Bukhari, Ablutions (Wudu'), Volume 1, Book 4, Number 234)"Wakuu katika maisha yangu yote nimeiona hii kali! baada ya kuboreka na uchakachuaji wa kura nimekutana na habarii hii nikiwa online! ningependa tushee hizi habari! via link hiyo hapo chini ya mtu kunywa mkojo wako mwenyewe ili kuzuia baadhi ya magonjwa sugu!:thinking::thinking:!
www.independent.co.uk/life-style/health-and-families/health-news/urine-the-bodys-own-health-drink-467303.html
damn lie!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Narrated Abu Qilaba: "Anas said, "Some people of ‘Ukl or ‘Uraina tribe came to Medina and its climate did not suit them. So the Prophet ordered them to go to the herd of (Milch) camels and to drink their milk and urine (as a medicine). So they went as directed and after they became healthy, ….(Sahih Bukhari, Ablutions (Wudu'), Volume 1, Book 4, Number 234)"
<br />Mkojo unakuwa dawa endapo tu kama mwili wako utakuwa safi! hapa namaanisha kama unataka kuutumia mkojo wako kama dawa ya kutibu magonjwa sugu inabidi kwanza uachane na tabia mbalimbali kama ; uvutaji sigara , unywaji pombe, kula vyakula vilivochanganywa na viungo, ulaji nyama ...na kuendelea. kwa ujumla hakikisha kwanza mwili wako ni msafi asilimia 100 kabla ya kuunywa, otherwise ni hatari kwa afya yako.