Mkojo ni dawa!

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,235
880
Wakuu katika maisha yangu yote nimeiona hii kali! baada ya kuboreka na uchakachuaji wa kura nimekutana na habarii hii nikiwa online! ningependa tushee hizi habari! via link hiyo hapo chini ya mtu kunywa mkojo wako mwenyewe ili kuzuia baadhi ya magonjwa sugu!:thinking::thinking:!
www.independent.co.uk/life-style/health-and-families/health-news/urine-the-bodys-own-health-drink-467303.html
 
baada ya kutudanganya na ahadi za elimu bure sasa unatupele kwenye mikojo!!! Duuh, hii kali!!!
 
Wakuu katika maisha yangu yote nimeiona hii kali! baada ya kuboreka na uchakuaji wa kura nimekutana na habarii hii nikiwa online! ningependa tushee hizi habari! via link hiyo hapo chini ya mtu kunywa mkojo wako mwenyewe ili kuzuia baadhi ya magonjwa sugu!:thinking::thinking:!
http://www.independent.co.uk/life-style/health-and-families/health-news/urine-the-bodys-own-health-drink-467303.html
Usijaribu... Usijaribu... Usijaribu... waweza pona tumbo, ukapata kichocho cha ubongo:A S angry: Imagine mtu ana kisonono au kaswende, kisha anakunywa mkojo wake ili ajitibu kuhara. embu fikiri apo:tape:
 
naamini mwenye ugonjwa sugu atajaribu kimyakimya..........,,,,,,,, naomba tu atu inform ikifanya kazi
 
kwa uthibitisho wa kitabu nilichonacho (THE WONDERS OF UROPAPHY), naamini kuwa mkojo ni dawa ya matatizo mbalimbali. Nimeshaunywa binafsi kutibu CONSTIPATION, SINUSITIS etc. Mwanzo una kinyaa fulani lkn baadaye unazoea. Sioni aibu kukiri hadharani kuwa MKOJO NI DAWA!
 
Jamani KUNA dingi angu mkubwa alikuwa mlevi sana wa pombe kali a.k.a Gongo la mboto
one Day wakamleta maskani amezima kiasi kwamba wapo waliokuwa wameanza kufikiri wapi tuchimbe kaburi, fortunately akatokea jiran mmoja akasema kingeni mkojo wa mwanae mumnyweshe, baada kila njia mkojo ukazamishwa tumboni kwa aliye mauti uti (dingi mkubwa) Dah aikuchukuwa Dakika 5, akafumbua macho 10 minutes later ndiye akageuka mwongoza story za waliokusanyika

TRUE STORY:peace:... MKOJO NI DAWA
 
Wakuu katika maisha yangu yote nimeiona hii kali! baada ya kuboreka na uchakachuaji wa kura nimekutana na habarii hii nikiwa online! ningependa tushee hizi habari! via link hiyo hapo chini ya mtu kunywa mkojo wako mwenyewe ili kuzuia baadhi ya magonjwa sugu!:thinking::thinking:!
www.independent.co.uk/life-style/health-and-families/health-news/urine-the-bodys-own-health-drink-467303.html

Mkojo unakuwa dawa endapo tu kama mwili wako utakuwa safi! hapa namaanisha kama unataka kuutumia mkojo wako kama dawa ya kutibu magonjwa sugu inabidi kwanza uachane na tabia mbalimbali kama ; uvutaji sigara , unywaji pombe, kula vyakula vilivochanganywa na viungo, ulaji nyama ...na kuendelea. kwa ujumla hakikisha kwanza mwili wako ni msafi asilimia 100 kabla ya kuunywa, otherwise ni hatari kwa afya yako.
 
Narrated Abu Qilaba: "Anas said, "Some people of 'Ukl or 'Uraina tribe came to Medina and its climate did not suit them. So the Prophet ordered them to go to the herd of (Milch) camels and to drink their milk and urine (as a medicine). So they went as directed and after they became healthy, they killed the shepherd of the Prophet and drove away all the camels. The news reached the Prophet early in the morning and he sent (men) in their pursuit and they were captured and brought at noon. He then ordered to cut their hands and feet (and it was done), and their eyes were branded with heated pieces of iron, They were put in 'Al-Harra' and when they asked for water, no water was given to them." Abu Qilaba said, "Those people committed theft and murder, became infidels after embracing Islam and fought against Allah and His Apostle . (Sahih Bukhari, Ablutions (Wudu'), Volume 1, Book 4, Number 234)"
 
Wakuu katika maisha yangu yote nimeiona hii kali! baada ya kuboreka na uchakachuaji wa kura nimekutana na habarii hii nikiwa online! ningependa tushee hizi habari! via link hiyo hapo chini ya mtu kunywa mkojo wako mwenyewe ili kuzuia baadhi ya magonjwa sugu!:thinking::thinking:!
www.independent.co.uk/life-style/health-and-families/health-news/urine-the-bodys-own-health-drink-467303.html
Narrated Abu Qilaba: "Anas said, "Some people of ‘Ukl or ‘Uraina tribe came to Medina and its climate did not suit them. So the Prophet ordered them to go to the herd of (Milch) camels and to drink their milk and urine (as a medicine). So they went as directed and after they became healthy, ….(Sahih Bukhari, Ablutions (Wudu'), Volume 1, Book 4, Number 234)"
 
Co lazma unywe mkojo hata kama unaamin ni dawa, co salama kw afya yako, mkojo ni sumu unaharibu maini na figo. Bora unywe alovera au muarobaini lakin co mkojo.
 
Narrated Abu Qilaba: "Anas said, "Some people of ‘Ukl or ‘Uraina tribe came to Medina and its climate did not suit them. So the Prophet ordered them to go to the herd of (Milch) camels and to drink their milk and urine (as a medicine). So they went as directed and after they became healthy, ….(Sahih Bukhari, Ablutions (Wudu'), Volume 1, Book 4, Number 234)"
damn lie!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkojo unakuwa dawa endapo tu kama mwili wako utakuwa safi! hapa namaanisha kama unataka kuutumia mkojo wako kama dawa ya kutibu magonjwa sugu inabidi kwanza uachane na tabia mbalimbali kama ; uvutaji sigara , unywaji pombe, kula vyakula vilivochanganywa na viungo, ulaji nyama ...na kuendelea. kwa ujumla hakikisha kwanza mwili wako ni msafi asilimia 100 kabla ya kuunywa, otherwise ni hatari kwa afya yako.
<br />
<br />
MIILI YA WATZ MINGI MH! NO MED CHEKUPS,TUNAKULA ILI MRADI
 
Serikali ya magamba ndiyo inayofanya maisha yanakuwa magumu kila kukicha, matibabu ni ya kulipia wakati uwezo hakuna, kwa nini tusitafute tiba mbadala za mikojo?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom