Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,373
Alikuwa akinitania,utani wake niliupenda,teh teh mbona hata ndoto yangu nilikuwa namwona akinipiga kofi isiyoumiza shavu?,alisema Mute nataka nikung'ate,teh teh akajifanya domo kubwa kama papa,akaning'ata lol hata meno yake hayakuwa na nguvu kunijeruhi,,kupitia dirishani(threads)akasmile kisha nikagonga mlango na akafungua mlango(akasema Mute swaga zako ni matokeo ya usumbufu usio na uwiano hebu ondoka,)nikatuliza nikisubiri kupigwa risasi kwenye thread ili itangazwe kifo cha kumvutia kila raia.
Akatumia rula kunipima kimo changu,kumbe napimika kwa vipimo rahisi kama 1+1 ila yeye akatumia kanuni za pai.
Upole wa AshaDii basi tu ukitoa point inatia moyo pia inasababishia maumivu lukuki.
Mkoba niliobeba si mzito ila..............ndani yake kuna herufi zinazosomeka kinyume,kama unanipenda why unitese? Kipipi we haya tu,cheka watu,busu mtu kwa feelings ukimpenda then anakuacha akisema huna vigezo usigune? Bishanga kweli we mhanya?mmmh haya bhana.
Teh teh teh kinanda tamu,sauti yake tamu na inasabisha kuwa na hamu, ,hata ukikosea ukabonyeza kwingine nayo tamu pia,mjanja wa kinanda kabonyeza vitufe ili kuridhisha umati mkubwa kumbe mlengwa ni mmoja tu halafu wengine wameenjoy bila kujua.
ANAYEPENDWA KASHAPENDWA,HATA AKIPENDA ATAKUWA ANADANGANYA.
SWALA KAMKIMBIA MWINDAJI,HALA HALA MTI NA MACHO AKAJIGONGA KWENYE MTI HALAFU AKAZIMIA HAPO HAPO.
Nime-mute kimoyo moyo ila sijasadiki.