Prophet
JF-Expert Member
- Aug 31, 2010
- 274
- 128
Heshima kwenu wandugu,Poleni kwa mgomo wa leo pia.
Tanzania ni nchi tunayopashwa kujivunia. Ni nchi yenye maliasili na utajiri wa kila aina. Ni nchi yenye mchanganyiko wa watu wa aina tofauti pia. Hii ni kwasababu ya ukubwa wa nchi yetu, Tujivunie walau hilo.
Kutokana na ukubwa wa nchi yetu, nachoelewa kusema tuna kila aina ya hali ya hewa na misimu. Sasa napenda kuelewa ni sehemu ipi ya nchi yetu hii adhimu ni mjarabu kwa mambo ya fungate muda wote wa mwaka.