Mwaka 1961 Mwl Nyerere aliongoza mapambano ya kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa wakoloni, alionyesha umahili wa kizanaki kwa kuwaonyesha Watanzania kuwa wanaweza kuwa huru na hatimaye nchi ikakombolewa kutoka kwa wakoloni wa kizungu.
Mwl Nyerere ni chimbuko la Mkoa wa Mara kabila la Wazanaki.
Baada ya ukombozi wa wakoloni weupe sasa nchi yetu imebaki kuwa kwenye mikono ya wakoloni weusi.
Hapa tena bado Mkoa wa Mara umeamua kuikomboa nchi yetu kutoka kwa Wakoloni weusi(CCM).
Jaji Warioba ni Mzanaki wa kutokea Mkoa wa Mara, Butiku ni Mzanaki kutokea mkoa wa Mara, hawa wazee wanapata uchungu kuona nchi ikirudi kwa wakoloni ambapo uliondolewa na kaka yao Nyerere na hapo ndo maumivu yanawashika na kuamua kuchukua maamzi kama ya kaka yao Nyerere maana wamefikia mahali wamechoka japo nao ni makada wa ccm.
Hawa watu wa Mara nimeamini waliletwa kwa mara moja duniani na maamzi ya pamoja...
Kwanini tuu harakati za ukombozi huu unafanywa na watu hawa wa huu mkoa kwa nyakati tofauti, na kwanini mikoa mingine inakuwa nyuma?
Hao machifu walipigania makabila yao. Hapa tunaongelea ukombozi wa Tanzania kama taifa. Usikurupuke!Acha mawazo finyu,nchi hii haikuanza kukombolewa wakati wa vita ya kagera,ukombozi wa nchi hii umeanza hata kabla nyerere hajazariwa,nikupe mfano kidogo bwana mdogo,
vita ya majimaji iliongozwa na kinjekitile,hakuwa mzariwa wa mara,mtemi mirambo wa Tabora,mkwawa wa Iringa wote hawa walipigania nchi hii,
kuna watu wamepigania nchi hii,na kupoteza maisha yao,
Hao machifu walipigania makabila yao. Hapa tunaongelea ukombozi wa Tanzania kama taifa. Usikurupuke!
Acha mawazo finyu,nchi hii haikuanza kukombolewa wakati wa vita ya kagera,ukombozi wa nchi hii umeanza hata kabla nyerere hajazariwa,nikupe mfano kidogo bwana mdogo,
vita ya majimaji iliongozwa na kinjekitile,hakuwa mzariwa wa mara,mtemi mirambo wa Tabora,mkwawa wa Iringa wote hawa walipigania nchi hii,
kuna watu wamepigania nchi hii,na kupoteza maisha yao,
Acha mawazo finyu,nchi hii haikuanza kukombolewa wakati wa vita ya kagera,ukombozi wa nchi hii umeanza hata kabla nyerere hajazariwa,nikupe mfano kidogo bwana mdogo,
vita ya majimaji iliongozwa na kinjekitile,hakuwa mzariwa wa mara,mtemi mirambo wa Tabora,mkwawa wa Iringa wote hawa walipigania nchi hii,
kuna watu wamepigania nchi hii,na kupoteza maisha yao,
Acha mawazo finyu,nchi hii haikuanza kukombolewa wakati wa vita ya kagera,ukombozi wa nchi hii umeanza hata kabla nyerere hajazariwa,nikupe mfano kidogo bwana mdogo,
vita ya majimaji iliongozwa na kinjekitile,hakuwa mzariwa wa mara,mtemi mirambo wa Tabora,mkwawa wa Iringa wote hawa walipigania nchi hii,
kuna watu wamepigania nchi hii,na kupoteza maisha yao,
.......hatutakubali Tanganyika ife mtakavyoooo,tuko pamoja na Mara tutawaongoza sote kwa pamoja na watoto wetu wako nyuma yetu,tupo jeshini na sehemu nyeti tumeshika.......twendeni sote wana wa tanganyika.