Mkoa wa Mara unaendelea kuikomboa nchi yetu

Mkoa wa Mara unaendelea kuikomboa nchi yetu

Wasira nae ni Mara na mkono pia
Umeona eeh?? Yaani kuna watu wana mawazo mgando sana!!! Yaani anataka kusema ni Mara tu ndio wana uchungu na hii nchi. Uzi ungekuwa mzuri sana ila kaboronga kwa kuchanganya habari.
 
Uweda watu wa Msoma ni Genius, lakini watu wenye akili ya kawaida humu JF wanaendelea kuisifu CCM

Inawezekana maana ma genius wengine ni prof sospeter muhongo,AG werema,Eliachim Maswi,wametutengenezea mradi poooooa sana wa ESCROW,

Trust me by the time we are through with them,they will be begging for more dick pumping in their f...ng a...es!
 
Stephen Wassira anatoka Mara, perhaps may become President.
 
Back
Top Bottom