Mkoa wa Mara unaendelea kuikomboa nchi yetu

CITY

Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
18
Reaction score
32
Mwaka 1961 Mwl Nyerere aliongoza mapambano ya kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa wakoloni, alionyesha umahili wa kizanaki kwa kuwaonyesha Watanzania kuwa wanaweza kuwa huru na hatimaye nchi ikakombolewa kutoka kwa wakoloni wa kizungu.
Mwl Nyerere ni chimbuko la Mkoa wa Mara kabila la Wazanaki.

Baada ya ukombozi wa wakoloni weupe sasa nchi yetu imebaki kuwa kwenye mikono ya wakoloni weusi.
Hapa tena bado Mkoa wa Mara umeamua kuikomboa nchi yetu kutoka kwa Wakoloni weusi(CCM).

Jaji Warioba ni Mzanaki wa kutokea Mkoa wa Mara, Butiku ni Mzanaki kutokea mkoa wa Mara, hawa wazee wanapata uchungu kuona nchi ikirudi kwa wakoloni ambapo uliondolewa na kaka yao Nyerere na hapo ndo maumivu yanawashika na kuamua kuchukua maamzi kama ya kaka yao Nyerere maana wamefikia mahali wamechoka japo nao ni makada wa ccm.
Hawa watu wa Mara nimeamini waliletwa kwa mara moja duniani na maamzi ya pamoja...

Kwanini tuu harakati za ukombozi huu unafanywa na watu hawa wa huu mkoa kwa nyakati tofauti, na kwanini mikoa mingine inakuwa nyuma?
 
...Jaji Warioba na Ikizu,Butiku sijui but nakuunga mkono,wana Mara wote simameni imara kuwa nyuma ya mwana,hawa waswahili wanataka kufanya ardhi hii kuwa sehemu ya zanzibar!badala ya zanzibar kuwa sehemu ya ardhi hii...na ndio maana wanataka kuua taasisi ya mwl.Nyerere,sasa hivi usuluhishi anafanya Kinana na jamaa moja......badala ya taasisi.......Kama zanzibar hawataki muungano basi waende kivyao kwanini tuwape vyote...sasa tanganyika ndio tanzania.....no tanganyika tunaipenda kuliko tanzania.
 
.......hatutakubali Tanganyika ife mtakavyoooo,tuko pamoja na Mara tutawaongoza sote kwa pamoja na watoto wetu wako nyuma yetu,tupo jeshini na sehemu nyeti tumeshika.......twendeni sote wana wa tanganyika.
 
Mwaka 1961 Mwl Nyerere aliongoza mapambano ya kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa wakoloni, alionyesha umahili wa kizanaki kwa kuwaonyesha Watanzania kuwa wanaweza kuwa huru na hatimaye nchi ikakombolewa kutoka kwa wakoloni wa kizungu.
Mwl Nyerere ni chimbuko la Mkoa wa Mara kabila la Wazanaki.

Baada ya ukombozi wa wakoloni weupe sasa nchi yetu imebaki kuwa kwenye mikono ya wakoloni weusi.
Hapa tena bado Mkoa wa Mara umeamua kuikomboa nchi yetu kutoka kwa Wakoloni weusi(CCM).

Jaji Warioba ni Mzanaki wa kutokea Mkoa wa Mara, Butiku ni Mzanaki kutokea mkoa wa Mara, hawa wazee wanapata uchungu kuona nchi ikirudi kwa wakoloni ambapo uliondolewa na kaka yao Nyerere na hapo ndo maumivu yanawashika na kuamua kuchukua maamzi kama ya kaka yao Nyerere maana wamefikia mahali wamechoka japo nao ni makada wa ccm.
Hawa watu wa Mara nimeamini waliletwa kwa mara moja duniani na maamzi ya pamoja...

Kwanini tuu harakati za ukombozi huu unafanywa na watu hawa wa huu mkoa kwa nyakati tofauti, na kwanini mikoa mingine inakuwa nyuma?

Acha mawazo finyu,nchi hii haikuanza kukombolewa wakati wa vita ya kagera,ukombozi wa nchi hii umeanza hata kabla nyerere hajazariwa,nikupe mfano kidogo bwana mdogo,

vita ya majimaji iliongozwa na kinjekitile,hakuwa mzariwa wa mara,mtemi mirambo wa Tabora,mkwawa wa Iringa wote hawa walipigania nchi hii,

kuna watu wamepigania nchi hii,na kupoteza maisha yao,
 
Uweda watu wa Msoma ni Genius, lakini watu wenye akili ya kawaida humu JF wanaendelea kuisifu CCM
 
Acha mawazo finyu,nchi hii haikuanza kukombolewa wakati wa vita ya kagera,ukombozi wa nchi hii umeanza hata kabla nyerere hajazariwa,nikupe mfano kidogo bwana mdogo,

vita ya majimaji iliongozwa na kinjekitile,hakuwa mzariwa wa mara,mtemi mirambo wa Tabora,mkwawa wa Iringa wote hawa walipigania nchi hii,

kuna watu wamepigania nchi hii,na kupoteza maisha yao,
Hao machifu walipigania makabila yao. Hapa tunaongelea ukombozi wa Tanzania kama taifa. Usikurupuke!
 
Ni kweli mkuu unajua tatizo la Watz wengi hawana elimu ya kuchambua mambo..mtu anapomaliza shule anajau ndo kaelimika
Kama mtu anashindwa kutofautisha ukombozi wa kabila fulani kichief na kuuhusisha na ukombozi wa nchi huyo mtu ndo hawezi kuisaidia hii nchi kuleta maendeleo hata akipewa uongozi wa kitongoji..
Hajui hata wazanaki walikuwa na machief kama Chief Wanzagi na Chief Ihyunyo. Hao hawakulikomboa taifa.
 
Acha mawazo finyu,nchi hii haikuanza kukombolewa wakati wa vita ya kagera,ukombozi wa nchi hii umeanza hata kabla nyerere hajazariwa,nikupe mfano kidogo bwana mdogo,

vita ya majimaji iliongozwa na kinjekitile,hakuwa mzariwa wa mara,mtemi mirambo wa Tabora,mkwawa wa Iringa wote hawa walipigania nchi hii,

kuna watu wamepigania nchi hii,na kupoteza maisha yao,

Jamani hivi wengine mbona akiri zenu zimekaa tenge sana!!!, hivi mleta mada alimaanisha watu walioikomboa nchi au ni watu waliopigania sehemu zao kama watemi???.Jk nyerere alipigania Tanganyika yote bila kubagua na kweli alifanikiwa kuikomboa na uhuru kwa makabila yote ya Tanganyika ulipatikana.Hao akina Mkwawa,Kimweri,Isike,Mirambo na wengine hawakukomboa chochote zaidi ya kujiua na kuuliwa, ila walijaribu.
 
labda ujue siriya nyerere kuongea na wszee wa dsm.
Harakati za kudai uhuru nchini zilianzishwa na wazee wa dsm na wengi wao walikuwa mabaharia na makuli wa bandarini,hasa wale waliosfiri nje ya tanganyika na kuona nchi zingine hasa za asia zikipata uhuru,ndipo naowakaona jambo hili lnawezekana hata hapa kwetu,kwa ushauri wa wazungu hao hao maana sio wote walipenda ukoloni,wakawaambia waunde chama cha kuwtetea ndhani ndio TAA ilipoanzishwa,kumbuka hswa jamaa walikuwa waislaam shule ilikuwa hakuna kwa ushauri wa dr.Mmja mzungu akawaambia lazima muungane na wenzenu wakristu maana ndio wapo waliosoma kwa wingi,wazee wale eakiunga hadi peramiho songea ndipo ulikofanyika mktano wakwanza wa harakati za kudai uhuru,wazee wa kislamu walichangishana na kuunda kamati ya kuratibu harakati zao,ikapangwa safu ya uogozi kwa msaada wa mapadri wa pugu,peramiho,kigonsera,ndanda na tabora,ndipo yakaja majina ya jk nyerere na wengine ila wengi wao walikataa sababu ya woga ,ni ndefu ntakumalizia siku nyingine mjuukuu wangu
 
Acha mawazo finyu,nchi hii haikuanza kukombolewa wakati wa vita ya kagera,ukombozi wa nchi hii umeanza hata kabla nyerere hajazariwa,nikupe mfano kidogo bwana mdogo,

vita ya majimaji iliongozwa na kinjekitile,hakuwa mzariwa wa mara,mtemi mirambo wa Tabora,mkwawa wa Iringa wote hawa walipigania nchi hii,

kuna watu wamepigania nchi hii,na kupoteza maisha yao,

Hao walipigania makabila ya wala si watanganyika wote isitoshe mkoa wa Mara haukudhirika na ukoloni kwa sababu wajerumani walipiga mapema sana wakakimbia na hata Muingereza alipokuja alikuja kirafiki tena kwa kunyenyekea ndo akawa anaomba vijana kwa ajili ya KAR.
 
Acha mawazo finyu,nchi hii haikuanza kukombolewa wakati wa vita ya kagera,ukombozi wa nchi hii umeanza hata kabla nyerere hajazariwa,nikupe mfano kidogo bwana mdogo,

vita ya majimaji iliongozwa na kinjekitile,hakuwa mzariwa wa mara,mtemi mirambo wa Tabora,mkwawa wa Iringa wote hawa walipigania nchi hii,

kuna watu wamepigania nchi hii,na kupoteza maisha yao,

Wote hao walikuwa ni wapiganaji lakini aliyefanikiwa kuikomboa Tanganyika ni Nyerere.
 
.......hatutakubali Tanganyika ife mtakavyoooo,tuko pamoja na Mara tutawaongoza sote kwa pamoja na watoto wetu wako nyuma yetu,tupo jeshini na sehemu nyeti tumeshika.......twendeni sote wana wa tanganyika.

Aliye ipoteza nchi ya Tanganyika alikuwa wa X.
 
Waryoba na wenzake ni kweli wanania njema na wananchi tatizo likokwenye chama chao cha CCM ambao hawataki kabisa Waryoba atoe elimu kwa wanachi kwani wanaelewa madhara watakayopata baada ya wananchi kuelimika hasa wa vijijini ambao ni mtaji mkubwa wa CCM kutokana na ujinga wao uliosababishwa na CCM.Ukitaka kuonja uchungu wa CCM toa elimu itakayotofautiana na CCM hapo CCM hawana msalie mtume wakotayari kukung'oa kucha bila ganza.Hawa wazee wetu wanatakiwa kulindwa vinginevyo muda si mrefu tunaweza tukaanza kuwasoma kwenye historia kuwa walikuwepo wazee kama hao.
 
Mimi ninamshangaa sana Jakaya kikwete. ...ndiye aliye anzisha mchakato wa katiba mpya, ndiye aliyemteua mh. Warioba ndiyo huyo huyo anampiga vita warioba ndiye huyo huyo kikwete aliyeuvuruga mchakato wa katiba.
Kikwete ni Sheeeeeda!
 
Back
Top Bottom