Mkoa wa Mara umeikosea nini Serikali ya CCM?

Mkoa wa Mara umeikosea nini Serikali ya CCM?

Nilidhani form four na form six mmeshaondoka jamvini
 
Mhhhhhh, umenigusa maana huko ndo nyumbani. Anyway, acha tuone miaka 5 haijaisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ndio kwenu, Kwenu ambako Wazawa wa Mkoa wako hawapendi kwao, wao hujenga Mikoa mingine na kuacha kwao wanazidiwa hata na Wachaga! Tazama walivyojaa hapa Mwanza, Arusha, Dar, Iringa na Morogoro tena kwa Kujenga Majengo, Viwanda, na Mahoteli makubwa! Hamasisheni Wazawa wenu warudi wajenge kwenu, Acheni kulalamikia Serikali!
 
Naskia huko kumefungwa mitambo ya THAAD ya kuzuia maendeleo....


Huko Mara kuna visa vya kutisha sana.... Acheni kwanza UCHAWI na mfanye kazi maendeleo yapo..

Msisahau kulipa kodi TRA na mtumie machine za EFD... Kwa maendeleo ya Mara


Kwa haya uliyoandika, ni wazi kabisa huufaham mkoa wa Mara..... Jielimishe ndugu, usijitie uzuzu
 
Ni kweli kwamba baba wa Taifa Hayati Mwl Julius K. Nyerere alikuwa ni mzaliwa wa mkoa huu na ambaye ndiye alikuwa mwasisi mkuu wa TANU na hatimaye CCM. Licha ya hiyo naweza sema kwamba mkoa huu umesaulika sana na katika shughuli za maendeleo ya jamii. Mkoa unakabiliwa na miundombinu mibovu, huduma mbovu za maji, elimu na afya.

Swali langu ni Je mkoa huu umewakosea nini watawala wote waliopita na wa sasa ndani ya serikali ya CCM??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mliwahi kujitangazia Uhuru wenu miaka ya nyuma, nasikia. Labda ndilo linalowagharimu...
 
Serikali ipeleke mapanga na majambia kwa jamaa zetu hao maana nihitaji lao kutoka damuni
 
Japo thread haioneshi inalenga nini...cha muhimu tuhamasishe vijana kufanya kazi; kuacha ubishoo wa kijinga na kubagua kazi; kuendekeza chini (unanielewa); matoto yamekuwa majinga sana saaana na kushusha hadhi ya mkoa kitaaluma (toka top 3 hadi the last 3)!!!; majungu hasa kwa wale wazee wanaojifanya wao ndiyo Musoma (wale wa Kennedy, Gandhi; Shaban, Iringo, Mkendo na Makongoro) ambao kIla kitu wao wanajua na wasipompenda kiongozi wanapiga figisu; ujuaji hasa kwa vija wanaoibukia kiuchumi hapo mjini na ulimbukeni; maendeleo duni na uhuni uliokithiri kwa mama na dada zetu (toga mwendele ebhitukulasi go ebhya mumagulu ahahahaa) na mwisho siasa za majitaka zisizo na dira na kupenda kuchagua viongozi ovyo wasio na vision wala mission na ambao hata hawana potentials zozote kwenye serikali e.g. Mbunge wa Musoma Mjini (hana potentials zozote za kuweza ku-influence serikali ifanye jambo) dhaifu kujenga hoja na ufuatiliaji. Hana guts za kushughulikia maendeleo maana pia anawakomoa kwa kuwa mlimuondoa na akarudi kwa mlango wa nyuma!!!))

Mkitimiza haya ndugu zanguni tunaweza songa mbele. Mkakinga Dar na Mwanza mulabhilwa ewanyu Mabhui Melafulu, Kalukekele, Etaro na Bhisumwa. Musige ejo go.

Atakayehitaji tafsiri atapewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyaronyo Kicheere (Baba Ghati) njoo huku wameanzisha siredi inayo kuhusu..
 
Back
Top Bottom