Mkoa wa Kilimanjaro hatarini

Mkoa wa Kilimanjaro hatarini

mbona ripoti zinasema Kilimanjaro ndio watu wanamaisha mazuri
 
Nadhani wengi hapa mnaojadili report za maisha zinazoiweka Kilimanjaro juu mkijaribu kulinganisha na alichoripoti mdau mtakuwa hamjamuelewa vizuri

Ukitaka kumuelewa vizuri soma mstari wake wa mwisho kwenye post yake

Anasema "TUTULIE TU TUTAVUNA"......Hapa ndiyo nimeelewa dhumuni/maana ya post yake
 
Nimefanya kazi kwenye mradi wa barabara kwa miezi mitatu kutokea Same hadi Rombo na baadae Himo hadi KIA nimegundua haya.
1. Vijana wengi wa uchagani ni walevi addicted full alcoholic hata afya zao zimetetereka sana. Hawa wezi kazi yoyote zaidi YA kutafuta pombe kali zilizopo.
2. Wilaya ZA Same na Mwanga kuna vuguvugu kubwa la mafunzo yasiyoeleweka YA kidini, kuna wageni wengi wapo kama wahubiri na jioni wapo kwenye nyumba za ibada. Huwezi gundua kama hauko karibu na vijana. Nahisi kuibuka kwa fundamentalism.
3. Mpaka wa Kenya uko free sana. Watu wanamove tu toka Kenya to ugweno na sehemu zingine hasa Muda wa jioni. Fuso zinatumika kupakia wageni vizuri tu hasa mida YA saa 3 hadi 10 usiku.

Tutulie tu tutavuna.

uko sahihi
hili tatizo walioapa kulinda katiba wanalijua
moshi mjini......hai....wapo watoto wana lazimishwa kukaririshwa maneno matakatifu....kuna taarifa walimu wanatoka mashariki ya mbali
walioenda somalia wameshafuzu tayari.....miaka mi 5 7 iliyopita mamlaka zilijuliswa wapo vijana wengi walipitia holili....namanga..taveta...walioapa kulinda katiba wakawa busy kuwabana wapinzani......sasa vnana wanarudi......hao wa shule maalum moshi huko wa tagraduate.......tatizo ...watawala wanapuuza kila kitu/////ilihali wanamiundombinu yote.....wanyonge tusubiri kusepeshwa kwa mwenyezi mungu tu kwa bunduki na mashoka.....kwani hawa jamaa kukupeleka kwa pilato hawana huruma hata kidogo.....na hivi vitoto vikiweza fuzu mafunzo yao bwatatangaza hili taifa jamhuri yao huru kabisa
 
Umewahi kujiuliza kwanini wanakunywa hivyo viroba?
 
Back
Top Bottom