and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,179
- 39,595
- Thread starter
- #21
Kila la heri wa kwetu (POTI) chukua fomu tutakuunga mkono, kazi yako tumeiona!!!
Kwa mara ya kwanza toka kuumbwa kwa ulimwengu huu. Mkoa wa Katavi unatarajia kutoa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Hili ni jambo jema na la kutia moyo kwa wana Katavi wote hivyo mnaombwa tukutane pale MSIMBAZI CENTRE tarehe 29.03.2015 (JUMAPILI) kuanzia saa 9 mchana kumuunga mkono Mwana Katavi mwenzetu. Kwa Mawasiliano zaidi wasiliana na Mwenyekiti wa Maandalizi 0719116360.KUFIKA KWAKO MAFANIKIO YA SHUGHULI HII NYETI
Mtachonga sana kisa KATAVI kutoa Mgombea Urais? Ukweli utabaki pale pale kuwa safari hi tumechoshwa na Watu wa KASKAZINI sasa ni zamu ya ukanda wa Nyanda za Juu kusini (KATAVI) hata Pengo anajua hilo. Mtasubiri sana nyie Wa kaskazini
Mh, uliowataja wanautendaji gani wa kupigiwa mfano!!?? hata mzee wa Mikasi nae!!jamani tumefikia hapa watanzania? CCm watupe kiongozi bora hata kama atatoka LINDI kwa mfano mhe. Membe ama mkoa wa mara Mhe. Wassira au Zanzibar Dr. Gharib Bilal hawa ni viongozi tunaowajua utendaji wao maana tumewaona kwa takribani muongo (decade) so tuna uhakika nao
Nani huyo toka mkoa mpya wa KATAVI?