Nipo mkoa wa Katavi Mpanda mjini.
Ni wiki ya pili sasa hakuna umeme. Yaani imekua shida sana tupo gizani na hakuna sababu ya maana iliyotolewa.
Wafanyakazi na wafanyabiashara tunateseka sanaa.
Ebu mamlaka husika mshuhulikie hili jambo, hali sio nzuri kabisa.