Mkoa wa Kagera unakabiliwa na matatizo makubwa ya viwanja vya michezo

frajomedia

Member
May 1, 2016
35
7
Mkoa wa Kagera umefanikiwa kuwa na uwanja mzuri wa mpira wa miguu,lakini unakabiliwa na matatizo ya viwanja vya michezo mingine.Hii inapelekea kufanya vibaya kwenye michezo na wanafunzi kukosa kuonyesha vipaji vyao.

Hayo yamesemwa na Bi Norah,kocha mkuu wa netball mkoani Kagera,unaweza kuona mazungumzo yote kwa kufungua.

 
Back
Top Bottom