Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,877
Hapo vip!!
Katika pitapita zangu nilishuhudia machinga wakitaka kumchomea moto mfanyabiashara mmoja pale Ngulelo stand.
Arusha bang Sana kila mtu anatumiaHapo vip!!
Katika pitapita zangu nilishuhudia machinga wakitaka kumchomea moto mfanyabiashara mmoja pale Ngulelo stand.
Na ugovi ulianza baada ya mfanya biashara yule kuwambia waondoe mabanda mbele ya duka lake kwasababu anashindwa kufanya biashara.
Hao machinga walimvamia jamaa kama pilipili na kuuza kurusha matusi makubwa kwa yule mfanyabiashara..na ingekuwa sio police walikuwa wanataka kuchoma duka la yulebmfanyabiashara.
Hili swala la kudhagaa kwa machinga tulisichukulie mdhaha kabisa kwasababu wafanyabiashara wanaolipa kodi ya serikali wanapata wakati mgumu sana...kiasi kwamba wengine wanaamua kufunga biashara kwa mazingira hayo.
Nina imani tokea machinga waanze kuzagaa zagaa kunawafanyabiashara wengi wafunga biashara zao kwasababu ya tatizo hili na serikali ikapoteza mapato au kodi ambayo ingetumiwa na serikali kughara elimu,afya za hao watoto wamachinga.
Ki ukweli ule ugomvi wakuta kumshambulia yule mfanyabiashara wa ngulelo ulinigusa sana..haikuwa haki hata kidogo.
Nomeona niandike jili kwasababu serikali ipo kama inaogopa kuchukua hatua katika hili swala..pasipo kupepesa macho machinga ni tatizo.
Wamachinga fungueni jicho muone, adui yenu ni CCM sio wafanyabiasharaHapo vip!!

... wana visa maalumu za 20,000/= zinawapa jeuri na uhalali wa kufanya wanayofanya. Pili, ndio walioiweka serikali madarakani (wapiga kura wangu). Machinga ndio "wenye nchi" kwa sasa.Hivi hawa machinga wanajiamini nini??
Miaka mitano nyuma hawa walichekewa sana sasa kidonda kimekuwa kikubwa hawataki tena kufata sheria.yule mzee machozi ya samaki yanaenda na maji alikuwa anajifanya kuipenda jamii fulani huku anakomoa jamii nyingine.Hivi hawa machinga wanajiamini nini??
Kwani serikali ya ccm inasemaje?Hapo vip!!
Katika pitapita zangu nilishuhudia machinga wakitaka kumchomea moto mfanyabiashara mmoja pale Ngulelo stand.
Na ugovi ulianza baada ya mfanya biashara yule kuwambia waondoe mabanda mbele ya duka lake kwasababu anashindwa kufanya biashara.
Hao machinga walimvamia jamaa kama pilipili na kuuza kurusha matusi makubwa kwa yule mfanyabiashara..na ingekuwa sio police walikuwa wanataka kuchoma duka la yulebmfanyabiashara.
Hili swala la kudhagaa kwa machinga tulisichukulie mdhaha kabisa kwasababu wafanyabiashara wanaolipa kodi ya serikali wanapata wakati mgumu sana...kiasi kwamba wengine wanaamua kufunga biashara kwa mazingira hayo.
Nina imani tokea machinga waanze kuzagaa zagaa kunawafanyabiashara wengi wafunga biashara zao kwasababu ya tatizo hili na serikali ikapoteza mapato au kodi ambayo ingetumiwa na serikali kughara elimu,afya za hao watoto wamachinga.
Ki ukweli ule ugomvi wakuta kumshambulia yule mfanyabiashara wa ngulelo ulinigusa sana..haikuwa haki hata kidogo.
Nimeona niandike hili kwasababu serikali ipo kama inaogopa kuchukua hatua katika hili swala..pasipo kupepesa macho machinga ni tatizo.
Its time to fix the machinga problem once and for all...Tumefikaje huku🤔 TRA wakunyanyase,umeongezewa na Tozo juu, halafu kumwambia mtu asifanyie biashara mbele ya fremu unayoilipia anataka kuchoma Duka lako?😤
Hapo vip!!
Katika pitapita zangu nilishuhudia machinga wakitaka kumchomea moto mfanyabiashara mmoja pale Ngulelo stand.
Na ugovi ulianza baada ya mfanya biashara yule kuwambia waondoe mabanda mbele ya duka lake kwasababu anashindwa kufanya biashara.
Hao machinga walimvamia jamaa kama pilipili na kuuza kurusha matusi makubwa kwa yule mfanyabiashara..na ingekuwa sio police walikuwa wanataka kuchoma duka la yulebmfanyabiashara.
Hili swala la kudhagaa kwa machinga tulisichukulie mdhaha kabisa kwasababu wafanyabiashara wanaolipa kodi ya serikali wanapata wakati mgumu sana...kiasi kwamba wengine wanaamua kufunga biashara kwa mazingira hayo.
Nina imani tokea machinga waanze kuzagaa zagaa kunawafanyabiashara wengi wafunga biashara zao kwasababu ya tatizo hili na serikali ikapoteza mapato au kodi ambayo ingetumiwa na serikali kughara elimu,afya za hao watoto wamachinga.
Ki ukweli ule ugomvi wakuta kumshambulia yule mfanyabiashara wa ngulelo ulinigusa sana..haikuwa haki hata kidogo.
Nimeona niandike hili kwasababu serikali ipo kama inaogopa kuchukua hatua katika hili swala..pasipo kupepesa macho machinga ni tatizo.
Hio elfu 20 haitawasaidia... wana visa maalumu za 20,000/= zinawapa jeuri na uhalali wa kufanya wanayofanya. Pili, ndio walioiweka serikali madarakani (wapiga kura wangu). Machinga ndio "wenye nchi" kwa sasa.
Serikali walaa isijiingize hukoWamachinga siyo wakuowaonea huruma,,,ata kama ni mimi cwezi kukubali waweke biashara yao mbele ya duka langu.
Mama samia fanyia kazi hili swala, watafutie sehemu nje ya mji.
Ni suala la muda tuSerikali inatakiwa iwe serious na mambo kama haya siyo kimbelembele ya msgr na kununua ndege vitu vikubwa nje ya uwezo wakati swala la machinga liko chini ya uwezo wao.
Mashamba huko Vijijni wameyakimbia walikuwa wakihamasishwa na marehemu Raisi wa Awamu ya tano waje mijini.Its time to fix the machinga problem once and for all...
Hawawezi kuishi kama wao ni keki hii nchi
Wafuate sheria over
... umaanisha ulikuwa utapeli kama utapeli mwingine?Hio elfu 20 haitawasaidia
Haipo kisheria
JPM aliibua tu jambo lake kichwani
Kubaki mjini sio shidaMashamba huko Vijijni wameyakimbia walikuwa wakihamasishwa na marehemu raisi wa Awamu ya tano.