Mkoa wa Arusha hali ni mbaya

Lema na Mbowe wameifanya hiyo Chedema Saccos yao.. Kiukweli Tunaitaji utawala mpya kuanzia mkuu wa mkoa mpaka Mbunge.
Hawa wote ni problem creaters not problem solvers
 
Mkuu katika awamu ya tano Arusha imejengwa kuliko awamu zote zilizopita ila may be kama unaleta udaku wa wanyama wa Serengeti tu. Barabara nyingi zimetengenezwa kwa lami ndiyo maana wameru na wamasai wanaunga mkono serikari ya awamu ya tano na Mh. Lema lazima ubunge auteme 2020. Waarusha wameshajitambua hawawezi kuongozwa na mgeni.
 
Mkuu nakubaliana nawe kama umeamua kuunda post yako tofauti na mada uliyochangia kwa kutoa suluhisho.
Naweza kusema mleta mada ni mwongo au hajui anachokisema hasa heading ya post yake.

Haiwezekani, haiwezikani mkoa ulikuwa juu Geneva ya Afrika ndani ya miaka 3 tu iwe na hali mbaya sana.

Tujiulize ni kusahaulika tu au awamu ya 5 imebomo miundombinu iliyokuwapo? Kutokarabati au ongeza miundombinu mipya miaka 3 tu hali imekuwa mbaya sana kushinda mikoa mingine!!!

Inawezekana mlizoea kupendelewa ndiyo maana mnaona kama mmetengwa/ mmesahaulika kumbe ni msawazo tu. Wenzenu mikoa mingine walisha zoea haya. Nenda Kigoma kasulu kaone tope!

Hata kama mtatengwa/sahaulika miaka 10, hali haiwezi kuwa mbaya kama Mtwara, Ruvuma, Katavi, Morogoro, Kigoma, Singida kutaja kwa uchache, hizi pia ni sehemu ya Tz.
 
Nilikuwa Arusha wiki mbili zilizopita baada ya kuda, nilishangaa kuona panabadilika.
Arusha,Mbeya,Tanga,Dodoma,Kigoma,Mtwara na Mwanza ni miji iliyoanza kutekelezwa mpango wa kuboresha miundombinu awamu ya kwanza toka kipindi cha Mkwere kwa pesa ya mkopo chini ya benki ya dunia..Tanzania strategic cities project saizi wanaingia awamu ya pili lakini pia plus bajeti ya Tarura miundombinu kwenye miji hiyo imeboreshwa
Sasa hivi baada ya serikali kuona mafanikio imekopa pesa tena na kutekeleza miradi kama huo kwenye miji 20 zaidi ndio maana saizi kila mji mkuu wa mkoa kuna miradi ya barabara inafanyika na kufungwa taa za barabarani,nimepita juzi babati pamebadilika na kupendeza na ndio hali hiyo kwa miji mingi ya Tanzania so concern ya mtoa mada aende Tarura huko sio kubwatukia watu humu
 
We acha siasa za jazba, ni hivi naelewa nilichoandika ndio maana nikaandika.

Nchi yeyote Duniani ina mikoa ambayo ni fursa kimataifa, bas Kama ni hivyo Arusha ni fursa ya Tanzania.

Maana yake kuna mikoa nyeti, inayoingiza kipato kikubwa ndani ya Taifa..na Arusha ni mojawapo kama sio ya Kwanza basi ya pili.

Huu mkoa inafursa za kimataifa ,hauwezi kufafanisha na katavi, kigoma na singida, hapa ukifananisha utakuwa huna akili na ndio maana inaingiza Pesa za kigeni Sana, sasa tunainaji serikali ipalilie mazingira ili iyongeze kipato zaidi na sio kuididimiza kwasababu ya giliba za kisisa.

tunaitaji Arusha iwe na muonekana wa kimataifa, kwasababu ndio mkoa unaoingiza watalii wengi Tanzania.
 
Barabara ya White Rose, Mianzini, Really? Mtalii Afuate Nini Huko?
[/QUOTE
Wazungu wakishatoka porini, wanatembea Arusha Kila mahali, katika mji huu, na pia hununua vitu mbalimbali kutoka Kwa wenyeji.
 
Ubovu wa barabara ni sehemu ya utalii na yenyewe,
Hahahaha hahaha [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]
Uku kwetu DSM kila barabara Ni madimbwi na maandalizi njooo uone
 
More than declaring of interest!!
 
Ubovu wa barabara ni sehemu ya utalii na yenyewe,
Hahahaha hahaha [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]
Uku kwetu DSM kila barabara Ni madimbwi na maandaki njooo uone
 
We ni bure kabisa, rais akinunuqa ndeqe za kuinua usafiri na utalii kutwa mnatukana ila barabara mbovu mnasikitika utalii unakufa ..mna tatzo like like, Ukanda.
 
We ni bure kabisa, rais akinunuqa ndeqe za kuinua usafiri na utalii kutwa mnatukana ila barabara mbovu mnasikitika utalii unakufa ..mna tatzo like like, Ukanda.
Sijui hata unaongea nini?
 
Mkuu, Chunguza watu wote wanalalamika ukabila wa Magufuli ni wachaga na watu wa kanda hiyo. Hapo ndio utajua hao jamaa hata ukiwapa nchi wataiharibu kabisa kwa ukanda
 
Sijawahi kujua wasukuma ni watu wa ajabu kiasi hiki........

 
Nilijua utatuletea picha za barabara tofauti, lakini naona picha za barabara moja tu yenye tatizo hilo ukiwa umepiga kwa mikao tofauti.

Ukiwa umejaza maelezo yenye chuki za kisiasa sana, ukieleza mengine ambayo hata uhakika nayo huna.

Ungeleta ujumbe tu barabara ya kutoka sehemu fulani hadi fulani ni mbovu, kuliko kutuletea picha za njia moja huku ukiwa umepiga picha pande tofauti
 
Me ndio nimeamua kuandika hivyo.. Na ww andika yako Kama unavyotaka.
 
Naona umeshangaa kama mimi sidkutegemea swali la hovyo na unaa kutoka kwa mtu anaejipambanua kuwa gwiji wa habari
Tunao waona magwiji kwenye nyanza fulani kitaaluma.. kwenye awamu hii naona kama wamepotoka kabisa na hata ule ubobezi wao kitaaluma hawautumii katika kufikiri, kufanya maamuzi na hata kutenda.. mathalani hawa ma professor wa elimu waliopewa madaraka awamu hii wafanyacho chaendana na ubobezi wao?
 
hili povu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…