Mkoa wa Arusha hali ni mbaya

Hivi unaelewa kweli maana ya mamlaka ya mji mdogo wa ngaramtoni hapa naongelea barabara za ndani ya mjimdogo ni pamoja na barabara uliyo post amabyo imebakia kipande kidogo sana kwa mbele imejengwa na mamaka ya mji mdogo wa ngaramtoni sehemu iliyo baki nisehemu ndogo sana hata kilometer moja haifiki na hii sehemu ipo kwenye mikakati ya mnispaa ya jiji la arusha.
Barabara ya motorways ambayo inatoka usa hadi ngaramtoni hii imejengwa moja kwa moja na maguli na alitoa hela cash kwenye ziara yake nakumbuka kipindihicho mrema alifika hadi tengeru kushuhudia tukio hilo la kishujaa tena bado alikuwa bench tu hata ajawa mkulu wa parole.
 
Hivi Mzungu atafuata Nini whaity rose wewe ungesema cc tunao ishi huku manguruweni ndio tunateseka,lakini mbona uswahilini,Jalalani mpaka Morombo ,ngesero kote huko Ni Lami mpya? Mm ninavyojuwa mambo Ni kwa zamu
 
We endelea na siasa zako za kiskuma humu ndani.
 
Kwani kuchagua mbunge wa chama pinzani ni makosa? Kazi ya Mbunge ni ipi?? Pascal napenda sana mawazo yako na jinsi unavyoyawasilisha ila kwa hili labda kama sijakuelewa.

Vyama Vingi vipo kwa mujibu wa sheria hivyo kuchagua upinzani nadhani siyo kosa. Serikali inatakiwa ipeleke maendeleo maeneo yote bila kujali kiongozi wa eneo hilo anatokea chama gani.

Tuwe Taifa lililofikia viwango vya juu vya ustaarabu, kama vile Mungu wetu asivyoangalia dhambi zetu sote hutunyeshea mvua na kutuangazia jua lake ndivyo hata Serikali yetu inatakiwa ktk kupeleka maendeleo.

Ninadhani Serikali haina bajeti tu kwa kipindi hiki ktk barabara hiyo ila siyo sababu ya siasa.
 
Lema ameshajua harudi,anajifanyia biashara zake tu,tulieni tu hakuna wa kuwaaemea
 
Aisee...

Kazi ipo!

2020 Tunaingia ngwe ya pili..! Pambana mkuu...
 
Hoja unayo ila umeiwasilisha kikudakuda sana,kwani sisi wa Tunduru hatuhitaji barabara nzuri,mbona Iringa wanatulisha,acha kujifanya wathamani kuliko sisi.
Tunduru hamuhitaji huduma mzuri kwa kumchagu Mpakate wa ccm pale bungeni kazi yake ni kupiga makofi ya kupongeza hotuba za mawaziri
 
Mimi nahitaji kùmjua mkurugenzi wa ilo jiji maana yeye ndo mwenye dhamana ya fedha katika mapato na matumizi katika sehemu yake
 
Hayati Sadam Hussein aliwahi kuwaua wapinzani wake kwa mabomu ya sumu.

Watawala katili wanajali madaraka yao tuu na vyama vyao.

Usitegemee Sehemu yenye upinzani kama hakuna Mbunge mwenye akili kama Mbatia mtapata maendeleo.

Wapinzani wana tatizo kubwa kujisanganya kuwa kelele zao za kulalamika zitawasaidia.
Tembo siku zote hawatishwi na kelele za Chura.

Mbunge wa Arusha ni mwana harakati sio mwana siasa.
Harakati zimegota awamu hii mana ziliingia woga mkubwa sana.

Chadema 2020 waonyeshe Demokrasia waachane na mambo ya kiCCM wa kuachia mtu Jimbo kama Mali yake. Washindanishe watu na wasikilize yupi mwenye Maono makubwa zaidi.
Meya Kalisti anafaa zaidi kuiwakilisha Chadema na watu wa Arusha.
Siasa za kishamba za Lema zimepitwa na Wakati. Watu wanataka maendeleo.

Lema akisimama tena Arusha ataangushwa na Chadema itapoteza.

Lema aridhike na nafasi aliyopata kuwakilisha jiji.
Kama Chadema watapuuza na kumbeba Lema wajiandae kupoteza jimbo.
 
Si imekuwa ni lazima tuuwe visiki vya maeneo yanayo fikiri tofauti na mapenzi ya utawala wa sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…