nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,032
- 2,952
Hiyo ardhi mnayo ? Usijitekenye hapa.
Utakuwa mgonjwa wewe, Moshi utailinganisha na Dodoma, Singida au Morogoro? sema ukweli ardhi ya Moshi inauzwa ghali sn