Mkoa gani wanalima njegele

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,102
Reaction score
4,082
Wanajamii naomba kuuliza ni mkoa gani hapa Tanzania wanalima ngegele kwa wingi na zinalimwa kuanzia mwezi gani. Nataka kulima hili zao kibiashara zaidi.
 
Ngoja waje wajuzi
 
Najua iringa na morogoro maeneo ya mgeta. Za moro ni za rojooo
 
Morogoro, Iringa, Njombe, Mbeya
 
Ni vizuri ungetumia forum ya kilimo na ufugaji, sababu ungepata ufafanuzi zaidi kutoka kwa watu wengi waliojikita na masuala hayo,
By ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…