Abra One
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 916
- 374
Heri kwenu wanabodi,
Niseme kuwa mimi ni mwalimu mtarajiwa ninayesuburi ajira hivi karibuni, kwa kuwa kuna hali ngumu ya maisha siku hizi hatuwezi kutegemea ajira tuu pekee, nikiwa pia kama mjasiriamali Mkulima naomba mnishauri ni mkoa/wilaya/kijiji gani naweza kwenda nikafanya na shughuli zangu za kilimo vizuri pindi nimalizapo vipindi vya darasani?.