O OMEGA JF-Expert Member Joined Jul 12, 2011 Posts 693 Reaction score 301 Aug 7, 2018 #21 Hassan Ab said: Kagera,mbeya nk Click to expand... Kagera hakuna ardhi,tayari mkoa umebanana,labda nisijue Wilaya ya Ngara kwani nayo ni Kagera
Hassan Ab said: Kagera,mbeya nk Click to expand... Kagera hakuna ardhi,tayari mkoa umebanana,labda nisijue Wilaya ya Ngara kwani nayo ni Kagera
Moneyowner JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,422 Reaction score 1,254 Aug 13, 2018 #22 Come27 said: Alafu kingine anatakiwa ajue ya kwamba sehemu yenye rutuba hakuna Soko la mazao. Labda kama ana target ya kupeleka mjini DSM, Mwanza, Zanzibar, arusha na sehemu ya majiji na sio uku kwy rutuba hakuna wanunuzi na wanunuzi ni choka mbaya Click to expand... Penye neema hakunaga maendeleo watu hufikiria kula tu.
Come27 said: Alafu kingine anatakiwa ajue ya kwamba sehemu yenye rutuba hakuna Soko la mazao. Labda kama ana target ya kupeleka mjini DSM, Mwanza, Zanzibar, arusha na sehemu ya majiji na sio uku kwy rutuba hakuna wanunuzi na wanunuzi ni choka mbaya Click to expand... Penye neema hakunaga maendeleo watu hufikiria kula tu.
desertfox JF-Expert Member Joined Oct 4, 2014 Posts 347 Reaction score 244 Aug 17, 2018 #23 jojipoji koromije said: Jitahidi na hiyo 1.4 isije ikaisha maaana uliuza nyumba ukafanye biashara ya mkaa!!!! Nakushauri nenda Doma ukalime nyanya miezi 3 tu unaingia sokoni. Click to expand... Kama Ni doma ya Moro mmh hapana pakame balaa
jojipoji koromije said: Jitahidi na hiyo 1.4 isije ikaisha maaana uliuza nyumba ukafanye biashara ya mkaa!!!! Nakushauri nenda Doma ukalime nyanya miezi 3 tu unaingia sokoni. Click to expand... Kama Ni doma ya Moro mmh hapana pakame balaa
Baraka sheni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2015 Posts 473 Reaction score 198 Aug 18, 2018 #24 jojipoji koromije said: Jitahidi na hiyo 1.4 isije ikaisha maaana uliuza nyumba ukafanye biashara ya mkaa!!!! Nakushauri nenda Doma ukalime nyanya miezi 3 tu unaingia sokoni. Click to expand... Mkuu ww umesha wahi kulima doma maaana huwa nikipita na basi pale naona nyanya zakutosha
jojipoji koromije said: Jitahidi na hiyo 1.4 isije ikaisha maaana uliuza nyumba ukafanye biashara ya mkaa!!!! Nakushauri nenda Doma ukalime nyanya miezi 3 tu unaingia sokoni. Click to expand... Mkuu ww umesha wahi kulima doma maaana huwa nikipita na basi pale naona nyanya zakutosha
magasi jnr JF-Expert Member Joined Dec 3, 2017 Posts 364 Reaction score 571 Aug 24, 2018 #25 Morogoro Sent using Jamii Forums mobile app