Mkoa gani hautamani kuishi hapa Tanzania?

Mkoa wowote ambao kutoka Dar Nauli inazidi elf 30 au ukitoka dar asubuhi 12 unaingia Usiku.. kuishi huko labda nichukuliwe msukule,
Kua Dar au kua karibu na Dar ndio pona yangu.

Note..
Sijasema kuna mkoa nauchukia au kuna mkoa naupenda, nitapenda kila nimachokifuata kwenye mkoa husika
 
Kuna Mikoa kiukweli Mimi ukiniambia nikaishi ni kama umenipa adhabu kubwa. Mikoa ambayo sitamani kabisa kuishi ni

Dsm-Watu wengi,Kila sehemu Kuna nuka,uswazi, no space na prone kwa Magonjwa kama kipindupindu n.k
mvua kidogo tu inakuwa ni mafuriko,joto na jasho mda wote nk nk.

Mikoa ya Kanda ya Ziwa. Hii shida kubwa ni zile zile watu wamerundikana kama Dar, umaskini uliotopea na mbaya zaidi Magonjwa ya Kansa ndio kwao.

Mwisho ni Wilaya za Makete, Longido, Simanjiro, Kondoa, Bahi, Ulanga na Mwanga. Hizi Wilaya maisha maisha hatari.
Kondoa Na makete ni pazuri kuna first Sana chunguza tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom