Mkoa gani ambao unashika nafasi ya mwisho kimaendeleo

Sina hela ya mafuta
Nilikua sina ramani nzuri ya tanzania.. Hii hapa
IMG_20191009_125502.jpeg
 
Singida unaipenda sana siyo?

Umeirudia kuitaja mara mbili mbili hadi Mkoa kiongozi Dar ukausahau nauliza why why why!
 
Kama unaelewa maana ya mitandao ungetembelea website ya National Bureau of Statistics ungepata kila kitu
Acha ubabaishaji ndyo maana ya talk openly au hoja......hapa napata live experiences ya watu tofauti tofauti....we kama unaona watu wakichangia unakereka omba wafute huu uzi....
Uzuri najua sijavunja sheria
 
Back
Top Bottom