Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,933
- Thread starter
-
- #81
😁Noma kuna thread ya nyuma Demu alikuwa anamsifia Mwamba anapiga show na amebarikiwa kila kitu ,asiee kumbe alikuwa anamjaza tu ,noma sana hawa viumbe! Kumbe behind the scene alikuwa analiwa nje sana mpaka jamaa akaamua kumtema na pia alikuwa ameolewa 😕😳
P.S No offense ila kama kujifunza tu
Na yeye anakuita baba nanihili 😂Saii namwita 'Mama nanihii'. Hakuna jina tamu kama hilo. Haya mengine mbwembwe tu za wazungu.
Kwani kakutoroka?Tulipanga tuje kuwa na watoto watatu, cha ajabu yeye saizi kashapata mmoja mimi sina, ndo nipo nawaza hapa imekuajekuaje.
Watu mnaitana poppy na mnataka mfike mbali?Mlianza kwa kupeana majina kama honey, darling, sweetheart, babe, honey bunny, sweetie, bear, poppy, cutie, sunshine, then mkaenda sugar...
Kwa sasa mko wapi?
Aliuza mechi.Kwani kakutoroka?
Mama, baba ni miito mitamu sana, mie nimeweka ringtone hiyo kwa simu yake na yangu, maalum kwa namba zetu tu. 😍Tupo kwenye kuitana Baba , Mama
Akili za wengine wanazijua wao wenyewe 😂Watu mnaitana poppy na mnataka mfike mbali?
Mnafanya nini huko?Tupo bandarini
😁Exactly. Na uzingatie price was high by that time. Tuliikunywa
Pole sana 😂Aliuza mechi.
Raw DP'ed au sio?🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
one and the same 🤣 🤣Raw DP'ed au sio?
Teh teh miye kuna mtu mpk leo kila mtu anafamilia ila hata leo tukikutana stand ya magufuli lazima tuzichape.Na leo hatusemeshani, nkipita kwao namwaga mchanga dirishani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tulipofika sugar tukakorogana tukadissolve
Mtakuwa mmliachana kwa kipigo pia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Teh teh miye kuna mtu mpk leo kila mtu anafamilia ila hata leo tukikutana stand ya magufuli lazima tuzichape.
Nikikumbuka hadi majina ya watoto tulishachagua...mwili wote unapata ganzi
Kumbe tupo wengi [emoji23][emoji23]
Mama, baba ni miito mitamu sana, mie nimeweka ringtone hiyo kwa simu yake na yangu, maalum kwa namba zetu tu. [emoji7]