Mko wapi sasa?

Saii namwita 'Mama nanihii'. Hakuna jina tamu kama hilo. Haya mengine mbwembwe tu za wazungu.
 
Halafu akirudi home anamuita my honey πŸ˜ƒ

Noma kuna thread ya nyuma Demu alikuwa anamsifia Mwamba anapiga show na amebarikiwa kila kitu ,asiee kumbe alikuwa anamjaza tu ,noma sana hawa viumbe! Kumbe behind the scene alikuwa analiwa nje sana mpaka jamaa akaamua kumtema na pia alikuwa ameolewa πŸ˜•πŸ˜³

P.S No offense ila kama kujifunza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…